Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Labda kama wameamua kuanza na Mwaka wa Fedha mbao kimsingi huanzia Mwezi Julai (July 2021-June 2022).
 
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Kwa mwezi huu wa Agosti wanakata 1000 ya mwezi huu na deni la 1000 kwa mwezi Julai, jumla 2000. Hii ni kwa sababu bajeti mpya ya serikali ilianza Julai. Kuanzia mwezi September utakuwa unakatwa 1000 tu. Ni mango mzuri. Umepunguza usumbufu.
 
Maamuzi mengine huwezi kuamini kama wanafanya binadamu tena kwenye kipindi kigumu cha Covid...
 
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Kilichokuwa kinajulikana ni TZS 10000 @ mwaka sasa wameangeza hadi 12000. Hapo ndo nami sijui kilichofanyika labda tumuulize rais Mana mwigulu ana majibu ya kejeli.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Mtanikumbuka. JPM 15-21
Ni kweli
FB_IMG_16295609049034251.jpg

Back
Top Bottom