Serikali ilikosea sana kumuondolea ukurugenzi Tido mhando TBC

we nawe! v2 vingine hata kama vinakukera sio lazima u-comment. hv kuhusu hilo,kuna uongo gani kuhusu tido mhando in relation with hizo media alizozitaja mleta mada?
Katekeleza kama alivyoagizwa na boss wake mpya ambaye ni checheme No. one. no issue here. Don't drum for Azam Tv
 
Kwa TBC ilikuwa/ingekuwa vigumu kupenyeza maono/utaalamu/ujuzi wake. Vichwa vingi vimejaa ujinga pale.

Angalia safu yake pale Azam TV wengi ni vijana anaowasuka kwa akili zake na mzee wa Charles Hillary aliyetokea TBC.

ITV miaka 20 sasa hawajeweza kufanya coverage kama ile. Alafu wanapewa tuzo ya Superbrand. Kweli kabisa jamani??????

Big up AzamTV. Tunasubiri Azam Mobile ituondelee adha ya 8mb.
 
Tido huyu huyu aliyekata matangazo live ya chadema Jangwani?! Kweli ccm itaendelea kutawala nchi hii sababu wanajua Wadanganyika ni wasahaulifu.
 
Kazi inayofanywa na Tido mhando Azam TV ni ya kutukuka hamna TV yenye coverage nzuri ya habari kama AZAM TV. Hata kwenye mkutano wa CCM Dodoma Azam ilikuwa kama ndio TV ya taifa. Hongera Tido mhando.

hivi unaelewa unakiongea, kuondolewa na kutoongezewa mkataba ni sawa! Huu uwezo wetu wa kufikiri uko poa sana
 
One of the best tv station in east africa..
 
Kwa TBC ilikuwa/ingekuwa vigumu kupenyeza maono/utaalamu/ujuzi wake. Vichwa vingi vimejaa ujinga pale.

Angalia safu yake pale Azam TV wengi ni vijana anaowasuka kwa akili zake na mzee wa Charles Hillary aliyetokea TBC.

ITV miaka 20 sasa hawajeweza kufanya coverage kama ile. Alafu wanapewa tuzo ya Superbrand. Kweli kabisa jamani??????

Big up AzamTV. Tunasubiri Azam Mobile ituondelee adha ya 8mb.

Azam Mobile..???

Ahhhhh, huyu Mzee atakuwa amebakiza nini yaani anataka kushika vyote viwe Azam Azam Azam.... Sasa wataanza kutoa na Mume/Mke Azam...!! Yaani unaenda pale Unalipia Mke Azam, unaweka ndani... shida ya nini..!!! Piga kazi Baresa wa watu....!!!

BACK TANGANYIKA
 
hivi unaelewa unakiongea, kuondolewa na kutoongezewa mkataba ni sawa! Huu uwezo wetu wa kufikiri uko poa sana

Kilikufanya na sababu gani ya kutokumuongezea mkataba jembe kama Tido?
 
Azam Mobile..???

Ahhhhh, huyu Mzee atakuwa amebakiza nini yaani anataka kushika vyote viwe Azam Azam Azam.... Sasa wataanza kutoa na Mume/Mke Azam...!! Yaani unaenda pale Unalipia Mke Azam, unaweka ndani... shida ya nini..!!! Piga kazi Baresa wa watu....!!!

BACK TANGANYIKA

Nimeipenda hii ,mimi nataka mke AZAM burushi ili tupate watoto chotara ,huo mpango utaanza lini?
 
Back
Top Bottom