Serikali ikubali kuwajibika kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ikubali kuwajibika kwa hili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwadada, Feb 26, 2011.

 1. M

  Mwadada Senior Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inasikitisha sana kwa serikali yetu kushindwa kutoa pesa za kuteketeza mabomu yaliyo kwisha muda wake.kama ilivyo elezwa na Dr Slaa ktk mkutano wa chadema uliyofanyika leo huko musoma mara.'kwamba wanataarifa kuhusu serikali kuandikiwa barua kuomba pesa za kuteketeza mabomu lakini serikali ikajibu haina pesa' itakuwa vema waziri husika akiwajibika kwa tukio la gongo la mboto,ili kujenga utamaduni wa kuwajibika ktk taifa letu.chanzo, taarifa ya habari ITV Saa mbili husiku leo.
   
Loading...