Monday, December 28, 2015
Wadau je! hamjajifunza tu ya Mzee wa Loliondo?
Kabla ya kutoa maoni yangu I must declare interest I a am qualified Medical Doctor of mora than 30 years in the profession.
Mgongano tuliokuwa nao kwa muda mrefu na wenzetu hawa ni mgawanyo wa kazi, kwanza hata utambilisho wao tuliwaboreshea katika vikao vyetu na wao hapo nyuma tukasema jamii isiwaite waganga wa kienyeji bali iwaite waganga wa jadi kwa nia nzuri kabisa ya kuubali mchango wao , sasa tuanzie hapo.
Waganga wa jadi wa mwanzo ambao waliwahi kukaa kikao na serikali walikuwa wanatibu kwa mizizi na ramri ndio ilikuwa ni diagnostic procedure yao, mpaka pale Mhimbili mimi niliacha kuna kitengo kabisa cha uchunguzi wa matibabu ya miti shamba na ilionekana dawa zao nyingi ambazo ilikuwa ni mizizi na magome ya miti ilikuwa na ACTIVE INGDRIDIENT, ila utunzaji wao ulikosolewa maana mizizi ilikuwa inakaa mda mrefu mpaka inakauka kwa lugha ya kiganga cha zaidi tunasema ilikuwa ime-xpire .
Wagawanyo wa kazi tuliokubaliana hapo nyuma ilikuwa kama ifuatavyo;-
Kama wagonjwa akienda kwenye clinic zao ana ugonjwa wenye dalili za Malaria,kipindupindu, uti wa mgongo au dalili za kifua kikuu (kukohoa makohazi yaliyochanganyika na damu) basi haraka warufae mgonjwa huyo kwenye hospital za serikali kwa maana zahati, vituo vya afya au hospital za wilaya kwa mantiki kwamba wakiendelea kukaa na mgonjwa huyo huko kwenye clinic zao na magonjwa hao wenye magonjwa ya kuambukiza wanaweza kuambikizwa wenyewe au kuambikiza jamii nzima.
Ila na sisi kwenye hospital za serikali tulikubaliana katika mgawanyo wa kazi huo tukipata wateja ambao wanataka Nkenkewa za biashara, mwanaume apendwe na mwanamke, zindiko la nyumba au dawa za kuvuta bahati basi haraka tuwalufae kwa waganga wa jadi maana ndiyo wenye uwezo huo
Sasa hivi karibuni makubaliano hayo yamevunjika kabisa badala ya kujiita waganga wa jadi wanajiita ni Madaktari au Profesor au badala ya kujiita ni waganga wa jadi wamebadilisha na kuwa ni Tababu wa tiba mbadala na kuvaa makoti meupe na stetoscope shingoni.
Badala ya kupiga ramri wanatumia any electronic device kama ni diagnostic tools zao.
Madhara yake:
Ieleweke kwamba mpaka sasa haijagundulika computer yenye uwezo wa kufikiri ila Computer zinarahisisha kazi tu, kwa mfano unaituma Computer au any electronic divice kama CT- SCANNER, Utra sound iangalie kiasi cha sukari kwenye damu, vifaa hivyo vyote vitakutajia kiasi tu cha damu lakini kamwe haviwezi kukuambia kwamba mwenye sample hii ya damu ana KISUKARI. Kazi ya kutafisiri ni ya kwako wewe uliyetuma kipimo hicho au ni wajibu wako ukipata majibu uwapelekee wenye uwezo wa kutafisiri.
Sasa hawa wa Tiba mbadala wamenunua vipimo hivyo na wanavitumia lakini je! nani anawatafisilia ? Wakati waganga wa serikali wanajua wazi kabisa hawawezi kutafisiri? Serikali iache tu wananchi waendelee kutapeliwa na kujiweka katika umaskini wa kutupwa maana huwa wanawachargi bei za ajabu?
Muingiliano huo wa majukumu ya kazi kati ya waganga rasmi na waganga wa jadi unafanya kitu kingine kibaya sana, nacho ni kuna namna zinazoeleweka za kujikinga na magonjwa ndio maana kuna usemi unaosema kukinga ni bora kuliko tiba. Waganga wenzetu wa tiba mbadala hawazingatii hili suala la kinga ni wepesi sana wa kumwambia mtu ana TYPHOID kwa kuwa ugonjwa huo dalili zake haziko wazi, ila hawawezi kumwambia mgonjwa ana kipindupindu kwa sababu mgonjwa atakataa maana atasema siharishi uhalo unaofanana na maji ya kuoshea mchele. Na hupenga kupachika wateja ugonjwa huo maana matibabu yake ni ghali. Madhara yake makubwa katika jamii kuhusu kupachika watu magonjwa ni KU-CRIATE FORCE SENCE OF SECURITY
Hii inafanana kabisa na Kinjekitile aliwadanganya watu kwamba wakinywa maji yake risasi za mjerumani zitageuka maji kwa hiyo askari wakawa wanasonga mbele tu kwa imani hiyo bila kuchukua tahadhari ya kujificha au kuka-maforage au ambush wakawa wanaenda kichwa kichwa tu , kilichotokea kula mtu anajua.
Sasa na wenzetu hawa wa tiba mbadala wanatengeneza kitu hicho kwa sababu matibabu yao ni business oriented na wala siyo ethical oriented kama ya hospitali, Sasa je! serikali iache tu hii hali iendelee , watu waendelee kujitajirisha tu kwa njia ambazo ni za uwongo kabisa kama za babu wa Loliondo?

Last edited: