Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Serikali iko katika mchakato wa kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii katika ofisi za umma ili kudhibiti wafanyakazi wanaotumia mitandao hiyo kuanzia saa1:30 mpaka saa 9:30
Mitandao hiyo ni pamoja na Facebook, Twitter, Whatsapp na Instagram.
Chanzo:Mwananchi online.
Nakumbuka niliwahi leta uzi hapa nikasema tunakoelekea hata simu za mikononi tutazuiwa kuzitumia maofisini baadhi walinibeza sasa yananza kutimia.
Mambo ya msingi hamfanyi mmebaki tu kutengeneza matukio kila kukicha.Dawa yenu ni 2020.