Serikali iko likizo??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali iko likizo???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntemi Kazwile, Aug 9, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jamani ina maana serikali yetu (sorry Rais wetu) imekwenda likizo?

  Zifuatazo ni dalili kuwa kuna tatizo ama mkuu amechukua likizo ndefu:
  • Dar, Manyara, etc hakuna wakuu wa mikoa
  • Bodi ya Wakurugenzi TRA imemaliza muda wake na hakuna nyingine iliyoteuliwa ni zaidi ya miezi mitatu sasa
  • Top management TRA (Commissioners) wamemaliza muda wao zaidi ya miezi mitatu na hakuna taarifa zozote kuwa wameongezewa muda au wengine wameteuliwa kushika nafasi zao
  • Na sasa vituo vyote vya kuuza mafuta vimefungwa kutokana na mgomo wa wenye navyo! Nakumbuka kuwa sheria ya uhujumu uchumi haijafutwa na kitendo kinachofanywa na hawa "mabosi" ni hujama kwa uchumi wetu..... serikali imekaa kimya na nchi inakaribia kusimama kwa ukosefu wa nishati hii adimu!
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yeaaa!!!! Prezidenti yuko laeve we hujui!!!! August yote ni likizo ya mh rais, because of ramadhan. Bahada ya mfungo wa ramadhani kumalizika ndo aanze tripu za nje ya nchi. Tutajiju na nchi yetu.

  MUNGU IBARIKI TANZAGIZA.
   
Loading...