Serikali ikimchekea Mchungaji Gwajima yatatokea yale ya Kinjingitile Ngwale na Mchungaji wa Loliondo

Je, tukichanjwa hatutaambukizwa?

Je, tukichanjwa hatutawaambukiza wengine?

Je, ni nini madhara ya chanjo hizi kwa muda wa kati na mrefu?

Je, Mheshimiwa Rais si amesema chanjo ni hiari?

Mkiweza kujibu hayo maswali na majibu yenu yaka-make sense then hakuna atakayehangaika na Gwajima.
Ukichanjwa unajikinga na athari mbaya za Uviko 19, ikiwemo kushindwa kupumua na hata kifo kutokana na maradhi hayo.
Heri nusu shari kuliko shari kamili
By the way huko Israel kwenye kila aina ya ujuzi na utaalamu asilimia themanini wamesha chanjwa
 
Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu walipoteza maisha kwa malaki kwa ujinga wa mtu mmoja.

Hivi majuzi babu wa Loliondo kama Mchungaji Gwajima naye kawaminisha eti kaoteshwa dawa ya kutibu Magonjwa yote Sugu kwa kikombe watu wamemwamini kumbe ni uwongo mtupu matokeo yake watu wakaacha dozi zao ambapo ikapelekea watu kufa kwa maelfu. Ulimwengu mzima likiwemo shirika la afya duniani wakatuona sisi wabongo ni kituko.

Sasa Mchungaji Gwajima , yaani Tanzania haijajifunza na matukio ya nyuma inamlelea lea tu huyu Mhuni GWAJIMA na uhuni wake wa kukejeli chanjo ya COVID-99 hakika nawaambia watanzania watapukutika, serikali iendelee tu kumlealea.
Hivi wewe kumbe ni pimbi Gwajima ni mhuni kwa lipi? Mkuu njoo na hoja sio matusi jipange!
 
Hakuna askofu wa aina hii duniani ni Gwajima tu. Soma walaka wa Timatheo sifa za askofu ni zipi? Kinyume na sifa hizo Askofu huyo ni mhuni nasema tena bila hata kujuta
 
Hao wanabaka vitoto kila siku wakijivika kanzu kubwa ndo maaskof? Askofu ni wito jua Gwajima yuko pale more than 25 years we unaleta poroja asingekuwa na with/self-drive angekuwa alishaacha huduma!
 
Nawashangaa wanaomuunga mkono mtu ambaye amewai hojiwa na polisi na kuonywa kwaajili wa kuchochea ukabila. Mtu hatari huyu jamaa , basi tu siasa zinawafunika kuona mbele.
 
Hao wanabaka vitoto kila siku wakijivika kanzu kubwa ndo maaskof? Askofu ni wito jua Gwajima yuko pale more than 25 years we unaleta poroja asingekuwa na with/self-drive angekuwa alishaacha huduma!

Uaskofu wa Gwajuma siyo wito ni income generation, yuko pale kujipatia kipato. hawezi kuacha huduma maana pale anatengeneza hela , yuko pale kimaslahi zaidi
 
Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu walipoteza maisha kwa malaki kwa ujinga wa mtu mmoja.

Hivi majuzi babu wa Loliondo kama Mchungaji Gwajima naye kawaminisha eti kaoteshwa dawa ya kutibu Magonjwa yote Sugu kwa kikombe watu wamemwamini kumbe ni uwongo mtupu matokeo yake watu wakaacha dozi zao ambapo ikapelekea watu kufa kwa maelfu. Ulimwengu mzima likiwemo shirika la afya duniani wakatuona sisi wabongo ni kituko.

Sasa Mchungaji Gwajima , yaani Tanzania haijajifunza na matukio ya nyuma inamlelea lea tu huyu Mhuni GWAJIMA na uhuni wake wa kukejeli chanjo ya COVID-99 hakika nawaambia watanzania watapukutika, serikali iendelee tu kumlealea.
Weee naona una chuki zako binafsi Hilo jina ulilo anza nalo kumuita muhuni, kakutapeli nini?

Chanjo si ihari? imekuja na yeye kahoji ubora wake.

Weee kama umepokea chanjo bila kuhoji ukachanjwa tu, bas mmekutana, wee usiye hoji Ina maana ata Nesi akikwambia meza panado 15 mala tatu kwa siku, utabugia vidonge vyote kwsbb aliyekwambia ni Nesi.

Arafu ulivyo wa ajabu, unasema yatatokea kama ya kina Kinjigitile ya kuhamini risas kuwa maji, hiv akili yako inakutuma kabisaa kwamba watanzania wana ujinga Kama wa kipindi kile kweli?

Kuhusu Babu wa Roliondo, Kama alipotosha watu..., Bas aliipotosha na hiyo serikali unayo amin maana akina.............walikwenda.

Acha kabisa kumshambulia mtu kwa maneno makali bila sababu hupati faida yoyote.

Hivyo bas huyo unaye muita muhuni Gwajima na wewe usiye hoji lolote maana yake wee ni zwa zwa -empty brain. So hakuna wa kumsema mwenzie.
 
Uaskofu wa Gwajuma siyo wito ni income generation, yuko pale kujipatia kipato. hawezi kuacha huduma maana pale anatengeneza hela , yuko pale kimaslahi zaidi
Hao wengine wanafanya kazi bure! Mkuu tumia akili sio hisia hata Yesu alikuwa na mtunza hazina so hela kwenye dini haiepukiki!
 
Bado kunachanjo kama laki sita na ushenzi zinasubira watu wakachanjwe ,nenda kachanjwe usitupotezee muda.
 
Weee naona una chuki zako binafsi Hilo jina ulilo anza nalo kumuita muhuni, kakutapeli nini?

Chanjo si ihari? imekuja na yeye kahoji ubora wake.

Weee kama umepokea chanjo bila kuhoji ukachanjwa tu, bas mmekutana, wee usiye hoji Ina maana ata Nesi akikwambia meza panado 15 mala tatu kwa siku, utabugia vidonge vyote kwsbb aliyekwambia ni Nesi.

Arafu ulivyo wa ajabu, unasema yatatokea kama ya kina Kinjigitile ya kuhamini risas kuwa maji, hiv akili yako inakutuma kabisaa kwamba watanzania wana ujinga Kama wa kipindi kile kweli?

Kuhusu Babu wa Roliondo, Kama alipotosha watu..., Bas aliipotosha na hiyo serikali unayo amin maana akina.............walikwenda.

Acha kabisa kumshambulia mtu kwa maneno makali bila sababu hupati faida yoyote.

uita muhuni Gwajima nHivyo bas huyo unaye ma wewe usiye hoji lolote maana yake wee ni zwa zwa -empty brain. So hakuna wa kumsema mwenzie.
Ni hoji kitu gani wakati mimi ninajua sayansi huwa haidanganyi? Ulimwengu wa kiroho una majibu mepesi wakati sayansi majibu yake yana namna ya kuhakikisha.
 
Ukichanjwa unajikinga na athari mbaya za Uviko 19, ikiwemo kushindwa kupumua na hata kifo kutokana na maradhi hayo.
Heri nusu shari kuliko shari kamili
By the way huko Israel kwenye kila aina ya ujuzi na utaalamu asilimia themanini wamesha chanjwa
Nenda kachanjwe Babu sie tuache, simple that way.
Ndugai kachanja chapchap halafu anaanza kulazimisha watu huyo mzee vepe
 
Chanjo zilizotumika ni less than 35,%... Kama ana uchungu sana na chanjo akachanje zote zilizobakia.
Alafu wote wanao mpinga hawana hoja. Mwenzao kaweka hoja wao wana bwabwaja tu. Ndo wataamini ata saa mbovu kuna mda inasema ukweli...shenz zao
 
Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu walipoteza maisha kwa malaki kwa ujinga wa mtu mmoja.

Hivi majuzi babu wa Loliondo kama Mchungaji Gwajima naye kawaminisha eti kaoteshwa dawa ya kutibu Magonjwa yote Sugu kwa kikombe watu wamemwamini kumbe ni uwongo mtupu matokeo yake watu wakaacha dozi zao ambapo ikapelekea watu kufa kwa maelfu. Ulimwengu mzima likiwemo shirika la afya duniani wakatuona sisi wabongo ni kituko.

Sasa Mchungaji Gwajima , yaani Tanzania haijajifunza na matukio ya nyuma inamlelea lea tu huyu Mhuni GWAJIMA na uhuni wake wa kukejeli chanjo ya COVID-99 hakika nawaambia watanzania watapukutika, serikali iendelee tu kumlealea.

Mwambie Lissu,mbatia,zito kabwe wawambie wafuasi wao waende kukipatia chanjo.yani hapo tuyapata watu zaidi ya milioni 15 watakaochanja
 
Sasa Mchungaji Gwajima , yaani Tanzania haijajifunza na matukio ya nyuma inamlelea lea tu huyu Mhuni GWAJIMA na uhuni wake wa kukejeli chanjo ya COVID-99 hakika nawaambia watanzania watapukutika, serikali iendelee tu kumlealea.
Waziri ameshindwa kuamasisha watu kuchanjwa utaweza wewe.
Kundi la watu wanaoitwa wajinga sasa wamepata uelewa.
Badala ya kujibu hoja unawaambia watu wakachanjwe .
Je Chanjo ukichoma itakaa kwa muda gani? Nikichanjwa barakoa nisavae?
 
Back
Top Bottom