Serikali iingilie kati. Wanaume wengi siku hizi kuna kitu kinawapata. Ushahidi Huu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Alianza Mc Pilipili kulia mbele za watu akiwa haamini kama ataenda kupata papuchi ile iliyokuwa mbele yake.alilia sana... Ilinishtua. Zamani kipindi kama kile wanawake ndo walikuwa wanalia. Lakini sasa ikawa mwanaume.nikanyamaza.

Akaja Lijua Kali. Akalia mbele ya wabunge wanawake na wanaume.akalia mbele ya wavulana na wasichana.akisema anateseka sana CHADEMA nikashtuka. Huyu bwana mdogo ana miaka juu ya 18 analiaje kuwa anateswa?hayo mambo tungesikia zamani mwanamke akilia anateswa kwenye ndoa.nikanyamaza.

Jana nmeona video ya mwanamuziki anajiita Top in Drama. TID naye analia mbele za camera anasema ameonewa kuna msemo kabuni watu wamechukua.nikashtuka sana.zamani nlizoea kuona vitoto vya kike au vya kiume visivyo na afya ndo vinalia lia namna hiyo.hapa nikasema sitonyamaza.

Serikali. Ni kipindi sasa cha kuangalia ni nini hasa kinakuwepo kwa watu hawa.hormones za kulia lia hazipo kwa wanaume.tena kwa mambo ya kipumbavu...no way. Wanaume tunalia kwenye msiba tena kidogo tu na pia majanga mengine makubwa mazito.tena kidogo sana.na si mbele ya camera. Huwa tunaenda kulia nyuma ya camera.

MC Pilipili amekaa maeneo ya kinondoni jamaa zangu wana stories zake nyingi.

TID naye amekulia huko kinondoni.wanasema sababu ya kutumia na kupenda madawa ya kulevya basi na wanaume mabaradhuli wakapitia humo humo ndo sasa yupo hibyo alivyo.

Serikali iingilie kati. Huko tunakoenda watakosekana wanajeshi,watakosekana wanaume...maana watabaki akina mc pilipili na tid na ndugu yao lijua likali.

Itakuja tokea vita hapa mtakusanya wanajeshi wakapambane mtawakuta wote wanajipiga selfie wakilia kuwa nchi xxxx inawaonea kuwaanzishia vita.huku bunduki wameweka chini wakilia.

Waswahili wanasema mwanzo wa ngoma ni lelele. Tungeziba ufa kauepuka gharama ya kujenga ukuta.
 
Sijui kuhusu huyu.labda kinondoni ya huko kwao. Kinondoni kwa kweli kuna shida sana. Watu wanaoishi kule wenye jinsia ya kiume si wakawaida....fanya tu tafiti.

What happened to lijuakali nae, wa kinondoni?

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
RC Makonda angekuwepo madarakani angetoa tamko “Wanaume wa Dar ni marufuku kula chips”. Inaelekea chips zege ndiyo chanjo cha matatizo.

Lijualikali kule Ifakara unakunywa chai na kiporo cha wali, sasa haya matatizo ya kulialia yametokea wapi?
Huyo makonda si ndio hao hao wa kujiliza hovyo...😅

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Alianza Mc Pilipili kulia mbele za watu akiwa haamini kama ataenda kupata papuchi ile iliyokuwa mbele yake.alilia sana... Ilinishtua. Zamani kipindi kama kile wanawake ndo walikuwa wanalia. Lakini sasa ikawa mwanaume.nikanyamaza.

Akaja Lijua Kali. Akalia mbele ya wabunge wanawake na wanaume.akalia mbele ya wavulana na wasichana.akisema anateseka sana CHADEMA nikashtuka. Huyu bwana mdogo ana miaka juu ya 18 analiaje kuwa anateswa?hayo mambo tungesikia zamani mwanamke akilia anateswa kwenye ndoa.nikanyamaza.

Jana nmeona video ya mwanamuziki anajiita Top in Drama. TID naye analia mbele za camera anasema ameonewa kuna msemo kabuni watu wamechukua.nikashtuka sana.zamani nlizoea kuona vitoto vya kike au vya kiume visivyo na afya ndo vinalia lia namna hiyo.hapa nikasema sitonyamaza.

Serikali. Ni kipindi sasa cha kuangalia ni nini hasa kinakuwepo kwa watu hawa.hormones za kulia lia hazipo kwa wanaume.tena kwa mambo ya kipumbavu...no way. Wanaume tunalia kwenye msiba tena kidogo tu na pia majanga mengine makubwa mazito.tena kidogo sana.na si mbele ya camera. Huwa tunaenda kulia nyuma ya camera.

MC Pilipili amekaa maeneo ya kinondoni jamaa zangu wana stories zake nyingi.

TID naye amekulia huko kinondoni.wanasema sababu ya kutumia na kupenda madawa ya kulevya basi na wanaume mabaradhuli wakapitia humo humo ndo sasa yupo hibyo alivyo.

Serikali iingilie kati. Huko tunakoenda watakosekana wanajeshi,watakosekana wanaume...maana watabaki akina mc pilipili na tid na ndugu yao lijua likali.

Itakuja tokea vita hapa mtakusanya wanajeshi wakapambane mtawakuta wote wanajipiga selfie wakilia kuwa nchi xxxx inawaonea kuwaanzishia vita.huku bunduki wameweka chini wakilia.

Waswahili wanasema mwanzo wa ngoma ni lelele. Tungeziba ufa kauepuka gharama ya kujenga ukuta.
Mkuu naomba file la MC pilipili kama hutojali
 
Back
Top Bottom