Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

Polepole ameuinukia UTAWALA HUU.....

Najaribu kufikiri tu iwapo watu aina ya komredi POLEPOLE wangeanzisha MADARASA hayo kipindi cha awamu ya 5......sipati picha yaani komredi Nape Nnauye baada ya kutenguliwa angeyaanzisha haya MADARASA haya.......

Siempre CCM
Nchi Kwanza
Kazi Iendelee💪
 
Kwa kweli Mimi ni mfuasi sugu wa Pole pole. Na kwa sasa ni mwanafunzi wake huru. Kwani mleta bandiko unateseka na Pole pole?
 
Wewe endelea kudai katiba mpya siku ukijitambua ndio utajua kuwa umechelewa na hapo tayari nchi ishauzwa.
 
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania.

Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo hicho baada tu ya upepo kubadirika tayari anazunguka nchi nzima akifanya makongamano yake huku serikali ikikaa kimya, hii haina maana kwetu kwani alikuwa wapi kufanya hivyo akiwa katika piki na leo katolewa ndiyo aanze kugawa watanzania.

Naiomba serikali ilichukulie kwa uzito wake swala hili kwani inaonekana kama katumwa na mtu au serikali yenyewe, kituambacho hatuelewi.

Na itakuwaje kama wengine wakianzisha hivyo vyuo na vyenye itikadi tofauti tofauti si tutakuwa tunaongeza balaa, nashauri Serikali iingilie kati na wamlete Polepole kwangu hata bila sadaka hili nimkanseli kisaikolojia kwa jina la Yesu atapona na kurudi katika hari yake.
Wacha majungu wewe!
Kama wewe hakikufai wengine kinatufaa,mnatakiwa kujibu hoja za polepole na sio kuleta majungu.

Polepole ni mwanaharakati na anafanya harakati zake ndani ya nchi hii kwa mujibu wa katiba na bila kutukana mtu yeyote.

Yeye anakosoa na kufundisha sera za uongozi. Siku hizi vijana mkitoka vyuoni mnakurupukia siasa bila mafunzo au kozi zozote za uongozi.
Matokeo yake mnaleta siasa za kibishi ubishi kama kina Lema na Lissu yaani kupinga kila kitu bila hoja au sera mbadala.
Polepole ni kichwa kuliko hata huyo Chifu hangaya wenu mnaempamba.
Na Polepole alianza zamani harakati kabla hata ya bunge la katiba.
Acheni unafiki wa KITANZANIA na kujipendekeza.
 
Kiseme alichokosea ili tumhukumu sawia na maneno yake au tujibu hoja zake badala ya kulalamika ndani ya blanket
Chuo kimesajiliwa wapi? Lini? Namba ya usajili? Mtaala kinachoutumia? Leseni? Kodi ya mapato??
 
Tatizo una hasira umeshindwa kutushawishi kwa nini afutiwe, acha roho mbaya, hii ni dunia ya utandawazi, Trump kafungiwa twetter lakini kasajili mtandao wake. Polepole anawanyima usingizi kwa kipaji chake alichojaliwa na Mungu na kutunzwa na wazazi wake.

Sisi ni wanafunzi wake kila jumamosi tumo na ametufundisha mengi kwa ada ya shilling 0.00
Mkuu Nipe taratiibu za kujiunga tafadhali
 
Polepole ameuinukia UTAWALA HUU.....

Najaribu kufikiri tu iwapo watu aina ya komredi POLEPOLE wangeanzisha MADARASA hayo kipindi cha awamu ya 5......sipati picha yaani komredi Nape Nnauye baada ya kutenguliwa angeyaanzisha haya MADARASA haya.......

Siempre CCM
Nchi Kwanza
Kazi Iendelee💪
Acheni watu wajiajiri, shida iko wapi??
 
Kunakitu nilitaka kujifunza na tayari nimeelewa hakuna rafiki wa kudumu katika siasa hapa watu waufipa washa tani wakihisi labda Pole atakuja Ufipa tupo pamoja naangalia kazi ya siasa raini
Hapa watu wa ufipa ni watazamaji tu. Hawana chao kwa Polepole. Sikiliza vizuri hoja za wadau halisi wanaokujibu.
 
Acheni watu wajiajiri, shida iko wapi??
Wangejiajiri hivyohivyo kipindi cha awamu ya 5....wakajitokeza HADHARANI kuendesha madarasa hayo....huku wakiendelea na kazi zao za ubunge uwe wa kuchaguliwa ama wa kuteuliwa.....

Vipi uliwaona wakifanya hayo?!!!!
 
kwanu wewe polepole anakutishaje kw kusema anacho amini! mie binafsi sikubaliani na polepole kwa ukosoaji wake lkn sina tatizo nae pale anapotumia haki yake kikatiba ya kusema anacho amini. sema tatizo letu lipo kwenye mfumo wa malezi hatuna ngozi ngumu ya kuvumilia kusikiliza yale ambayo hatupendi kusikiliza.
 
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania.

Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo hicho baada tu ya upepo kubadirika tayari anazunguka nchi nzima akifanya makongamano yake huku serikali ikikaa kimya, hii haina maana kwetu kwani alikuwa wapi kufanya hivyo akiwa katika piki na leo katolewa ndiyo aanze kugawa watanzania.

Naiomba serikali ilichukulie kwa uzito wake swala hili kwani inaonekana kama katumwa na mtu au serikali yenyewe, kituambacho hatuelewi.

Na itakuwaje kama wengine wakianzisha hivyo vyuo na vyenye itikadi tofauti tofauti si tutakuwa tunaongeza balaa, nashauri Serikali iingilie kati na wamlete Polepole kwangu hata bila sadaka hili nimkanseli kisaikolojia kwa jina la Yesu atapona na kurudi katika hari yake.
Wewe ni mkewe ?
 
Mwachie tu huyo, ngoja amtukane Membe, kachero lililobobea, watauza hadi yeboyebo zake huyo Polepole.
 
kinakuuma nini nawe so uwazishe Darasa lako la Uongozi ili usambaratishe sera zake
 
Back
Top Bottom