YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Katika taarifa za BBC swahili wenzetu wa jimbo la Kwazulu Natal Afrika ya kusini wamegundua kuwa wasichana wengi hushindwa kuendelea kusoma sababu ya kuendekeza mapenzi yanayowaathiri kimasomo na kupata UKIMWI mapema.Serikali hiyo imekuja na mpango wa kusomesha bure wasichana wote mabikira kuanzia sekondary hadi vyuo vikuu.Mpango huo umesaidia wasichana wengi kujitunza na kusoma.
Nashauri kwa Tanzania ianze kusomesha mabikira kuanzia chuo kikuu. Wale wote watakaokutwa mabikira walioomba kusoma chuo kikuu wasomeshwe bure na waambiwe siku ubikira ukiisha ndio mwisho wa kusomeshwa na serikali utajisomesha mwenyewe hata mkopo hupati kwani hukuwepo programme ya mkopo toka mwanzo.
Hii itasaidia wengi wafike PHD kabla hawajaharibika au kuharibiwa na vidume koko vikware vinavyokwamisha maendeleo ya mtoto wa kike.