Serikali ianze utumbuaji wa raia wa kigeni wenye vyeti feki

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,598
1,816
Ni swala lilisilopingika kuwa serikali ya tano imesimama katika haki,uweledi na uwajibikaji.
Baada ya mafanikio makubwa katika kuondoa wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki. Muda umefika sasa raia wa kigeni wafanyiwe ukaguzi uhalali wa vyeti vyao.

MUHIMU: 1) Raia wengi wa kigeni wameajiriwa katika kazi ambazo watanzania wanaweza kuzifanya tena kwa ufanisi mkubwa zaidi yao.

2) Kama ilivyo Tanzania uwepo wa vyeti feki vipo kote ulimwenguni na kuna baadhi ya nchi hili swala ni kubwa sana.

3) Watanzania wengi hunyanyaswa na kubaguliwa katika upatikanaji wa nafasi za kazi wawapo ughaibun. Kwa nini leo hii nchi yetu tuwe ni watu wakupokea tu hata watu wasio na sifa.

4)Ni swala la kizalendo

5)itaijengea heshima taifa letu.

6) Huduma zao mbovu pia huathiri Watanzania
 
avanter yako inaonyesha wewe sii wa nchi hii pia. tutakufind baadaye
wee ngoja tu
 
Back
Top Bottom