GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Nishukuru sana viroba vilipopigwa marufuku. Lakini nmegundua bado kuna watu wanatumia kwa siri. Umesikiliza bunge wabunge wanavyoongea?kama hawajakunywa viroba bas wamevuta ile sigara kali.
Unamkuta mbunge au waziri kabisa anaongea mwingine anasema hakuna kutekwa...kutekwa si suala la mchezo...so hawa waliotekwa ilikuaje? Katika akili za binadam wa kawaida hawez ongea hivyo.
Angalia post au comments za baadhi ya wana JF. Utagundua viroba bado vipo kabisa.vingi tu. Tena watu sasa wanakunywa 24x7 serikali iliangalie jambo hili kwa kina.