Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,315
8,227
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.

Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.

Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.

Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.

Ndugu zangu ni ushauri tu.

Ninyi mnaonaje wakuu.
 
Kwa Mujibu wa Suwboofer Lusinde na Msukuma maarufu kama std 7b wapo smart na ni wataalamu kushinda wakina prof. Ndalichako na prof. Muhongo!. Hapa ndio tunaanza kuziona hasara za kuwapa madaraka makubwa ya kiwango cha Uspika watu wenye CPA za Milembe
 
Wale sio wataalam mkuu, huwezi kulinganisha Prof wa Mathematics au Prof wa Geology na hao wakina Msukuma mkuu. Tuache utani kabisa.
 
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.

Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.

Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.

Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.

Ndugu zangu ni ushauri tu.

Ninyi mnaonaje wakuu.
Ngoja waje na maneno yao, watakuambia hao waliosoma hata kujiajiri hawawezi, badala ya kuchangia kiuweledi wataleta chuki zao dhidi ya waliosoma, we ngoja uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Truth be told. It is impossible now but yet the chances are there depends on how you will defend your proposal. I support you 100% on this.

I think it's impossible because house of parliament to us is not only to support the elite but the ordinary citizens yet it for the fact that knowledge of life and living is complex kuna elimu ya shule, kuna elimu ya maisha ambapo pale unapokuta mtu kaishia lasaba na kaajiri watu 200 azaidi sa lazma bunge lichanganye
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.

Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.

Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.

Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.

Ndugu zangu ni ushauri tu.

Ninyi mnaonaje wakuu.
 
Asalaaam aleykum
Eid Mubaraaaaak !!

Naona kwa sasa nchi ina wasomi wengi mnooo.naona ni vyema au sio vibaya kama sifa za kugombea ubunge zikapitiwa upya hasa kipenhele cha ELIMU walau itamke elimu ya kiwango kuanzia Certificate ya chuo.

sio kwamba wale graduate wa standard 7 watakuwa wame nyanyapaliwa lahasha bali hii itatoa motosha kwa vijana kusoma walau ngazi ya cheti.
 
Katiba mpya mzee.

Ila kusoma sijui chuo na kuwa na certificate sijui diploma sijui degree sidhani kama ni sifa zinazomfanya mtu kuwa na hoja za maana, maana tunaona wasomi wengi wenye PhD ndio wasomi uchwara.

Refer Prof Machokodo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asalaaam aleykum
Eid Mubaraaaaak !!

Naona kwa sasa nchi ina wasomi wengi mnooo.naona ni vyema au sio vibaya kama sifa za kugombea ubunge zikapitiwa upya hasa kipenhele cha ELIMU walau itamke elimu ya kiwango kuanzia Certificate ya chuo.

sio kwamba wale graduate wa standard 7 watakuwa wame nyanyapaliwa lahasha bali hii itatoa motosha kwa vijana kusoma walau ngazi ya cheti.
Kwani hiyo ni kazi ya serikali?
 
Mkuu hapo nakupingwa kwa sababu unao ona darasa la saba wanaweza kua na hoja zaidi ya hao wenye vyeti.
Mfano angalia hoja za Musukuma na Ndugai harafu leta point.
 
Msukuma ndio yule alimnanga DED kanunua gari ya mil 400 alafu matokeo yaake yalikuwaje ?

Graduate wa darasa la saba inatosha sasa wamelisaidia taifa vya kutosha,

Kwa karne hii ya 21 ni aibuuu kuwa na mwakilishi wa elimu ya darasa la saba
 
Nitoshe kusema hivyo maana nikiendelea ni shida tupu niwaachie na wengine nafasi
 
Back
Top Bottom