Serikali iangalie mishahara ya walimu waliosoma sayasi na wanaofundisha masomo hayo

Optic nerve

Member
Mar 18, 2019
19
20
Kipindi cha serikali ya awamu ya nne,serikali ilitilia mkazo wa kuandaa walimu wa sayansi,baada ya kuona walimu wa Physics,Chemistry, Biology na mathematics kuna upungufu mkubwa mashuleni.Moja ya mikakati ilikuwa kutoa mikopo kwa asilimia 100 kwa wanafunzi hao.Hoja yangu iko hivi,hawa walimu wakishapata ajira serikalin,licha ya kuwa na kazi nyingi mashulen ikiwa na vipindi vingi vya kufundisha,kufanya kazi ya utalaam ww maabara,gharama kubwa ya kusoma masomo ya sayansi na kutumia muda mwingi kusoma masomo ya sayansi.Licha ya matatizo kibao wanayoyapata wanalipwa mshahara mmoja kwa kiwango sawa cha elimu na wale walimu wa sanaa ambao hawana vipindi vingi vya kufundisha mashuleni.Ukiondoa hayo kwenye ulipaji wa mkopo wa elimu ya juu walimu hawa watalipa zaidi kuliko walimu wa sanaa,sasa unakuja kujiuliza mbona kipaumbele kwa walimu hawa hakipo kwenye ajira?Mfano kwenye shule zisizo na laboratory technician,walimu hawa wa sayansi wanafanya hizo kazi kwa mshahara uleule,ndio maana wengi wao wanakimbia ualimu.Serikali inatakiwa ilifanyie tathimin hili suala.
 
Wote ni walimu!Hakuna walimu wa mtumba na wa spesho!!!!
 
Mkuu Kama unawivu sana na hao Arts taecher acha tu ualimu hilo unalowaza kutokea sio leo mpk utastaafu mkuu!!
 
Kipindi cha serikali ya awamu ya nne,serikali ilitilia mkazo wa kuandaa walimu wa sayansi,baada ya kuona walimu wa Physics,Chemistry, Biology na mathematics kuna upungufu mkubwa mashuleni.Moja ya mikakati ilikuwa kutoa mikopo kwa asilimia 100 kwa wanafunzi hao.Hoja yangu iko hivi,hawa walimu wakishapata ajira serikalin,licha ya kuwa na kazi nyingi mashulen ikiwa na vipindi vingi vya kufundisha,kufanya kazi ya utalaam ww maabara,gharama kubwa ya kusoma masomo ya sayansi na kutumia muda mwingi kusoma masomo ya sayansi.Licha ya matatizo kibao wanayoyapata wanalipwa mshahara mmoja kwa kiwango sawa cha elimu na wale walimu wa sanaa ambao hawana vipindi vingi vya kufundisha mashuleni.Ukiondoa hayo kwenye ulipaji wa mkopo wa elimu ya juu walimu hawa watalipa zaidi kuliko walimu wa sanaa,sasa unakuja kujiuliza mbona kipaumbele kwa walimu hawa hakipo kwenye ajira?Mfano kwenye shule zisizo na laboratory technician,walimu hawa wa sayansi wanafanya hizo kazi kwa mshahara uleule,ndio maana wengi wao wanakimbia ualimu.Serikali inatakiwa ilifanyie tathimin hili suala.
Hapo hoja yako ikite kwenye kudai nyongeza ya mshahara na sio eti walimu wa sayansi wana vipindi vingi! kuna shule walimu wa sayansi ni wengi hapo unasemaje? wewe nawe kubali kufundisha Civics au GS maana umesoma DS
 
Labda wapewe motisha, ila sio kuwa na mishahara tofauti.
Serikali itayotofautisha mishahara ya walimu wa arts na sayansi itaongeza mpasuko zaidi ya huu uliopo sasa.
1. Walimu wa arts watajiona wanyonge kwa hiyo morali ya kufanya kazi itashuka
2. Wanafunzi wengi watataka wasome sayansi kukwepa kudharauliwa na kuja kuwa na kazi inayolipa zaidi
3. Ufaulu wa wanafunzi kwa masomo ya arts utashuka zaidi kutokana na walimu wa arts kushuka morali na wanafunzi kuyadharau masomo ya arts
4. Tutakuja kukosa wataalamu wanaotokana na masomo ya arts mfano wanasheria, walimu wa masomo ya arts,nk hapo baadaye.

Naamini viwango vya mishahara vilivyopo ni kwa mujibu wa sheria. Huyu jamaa angeshusha tu kama sheria ingekuwa haimbani.
 
Kipindi cha serikali ya awamu ya nne,serikali ilitilia mkazo wa kuandaa walimu wa sayansi,baada ya kuona walimu wa Physics,Chemistry, Biology na mathematics kuna upungufu mkubwa mashuleni.Moja ya mikakati ilikuwa kutoa mikopo kwa asilimia 100 kwa wanafunzi hao.Hoja yangu iko hivi,hawa walimu wakishapata ajira serikalin,licha ya kuwa na kazi nyingi mashulen ikiwa na vipindi vingi vya kufundisha,kufanya kazi ya utalaam ww maabara,gharama kubwa ya kusoma masomo ya sayansi na kutumia muda mwingi kusoma masomo ya sayansi.Licha ya matatizo kibao wanayoyapata wanalipwa mshahara mmoja kwa kiwango sawa cha elimu na wale walimu wa sanaa ambao hawana vipindi vingi vya kufundisha mashuleni.Ukiondoa hayo kwenye ulipaji wa mkopo wa elimu ya juu walimu hawa watalipa zaidi kuliko walimu wa sanaa,sasa unakuja kujiuliza mbona kipaumbele kwa walimu hawa hakipo kwenye ajira?Mfano kwenye shule zisizo na laboratory technician,walimu hawa wa sayansi wanafanya hizo kazi kwa mshahara uleule,ndio maana wengi wao wanakimbia ualimu.Serikali inatakiwa ilifanyie tathimin hili suala.
Ulilazimishwa kusoma sayansi? Ulipewa Uhuru wa kuchagua Kati ya Sayansi na Arts na ukaona bora kusoma sayansi Kwa kuwa ndio unaipenda na kuiweza. Leo usianze kulalamika, wakati unasomea ualimu wa sayansi hukujua kama Walimu wa sayansi wanalipwa mishahara Sawa na Arts? Komaa.
 
Back
Top Bottom