Serikali iangalie mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania kwa jicho la tatu.

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,580
2,000
Kwanza nianze kwa kumpa pole Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya. Mimi sio shabiki wako ila kuilinda nchi na maslahi ya nchi basi haina uchama wa ukabila.

Napenda kutoa raia yangu kwa Tanzania security agencies kuangalia sana mabalozi za nje na mienendo yao.

Zaidi ya makontena ya madini kukamatwa,balozi za kigeni zinafanya biashara haramu ya kusafirisha mali za nchi kinyume na sheria. Makontena au mizigo hii huwa inapigwa chapa ya diplomat status kwahio hayakaguliwi. Nasema hv kutokana na habari nilizonazo juu ya mambo haya wakitumiwa kusafirisha mambo mengine ikiwemo gold,tanzanite na wanyama.
Pia ,wanafathili vikundi kuleta machafuko pale inapobidi. Mfano wa makundi haya ni walemavu,mashoga,vyama vya siasa ,kupitia mgongo wa elimu vijijini na afya na kwenye sekta za dini.Pia and wanafanya majaribio ya madawa bila idhini ya nchi.

Naomba Tanzania kufuta any outside influence bila usimamizi maalumu. Wazungu wanaokuja Tanzania na kwenda vijijini hawaitaki mema nchi.Pia ku-toughen watu wanaongi ndani ya nchi yetu ambao wanania mbaya. Waafrica sisi kwenda nchi za watu sio rahisi lakin wao wanaingia na kutoka kama chooni.

Ni wajibu wa kila mtanzania kuilinda nchi popote pale ulipo,kama ni nje ya nchi au ndani,toa taarifa kwa sehemu husika.
Katika vita hii ya mabeberu inatufaa kusimama pamoja kama Tanzania. Ikibdi tupiganw kwa moja for our common enemy. Our common enemy sio mwingine bali ni mzungu.

Niko tayari kufa kwaajili ya Tanzania. Na nikizaliwa tena,nizaliwe Tanzania.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom