Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Nachukua nafasi hii kuishangaa Serikali kuleta siasa kwenye suala la Uwanja wa Taifa Na Uhuru.Niliamini Kwa kuwa vilabu vyote vilishiriki kuharibu viti kila klabu Kwa wakati wake, Na pia viliomba msamaha Kwa Serikali niliamini msamaha ungekuwa wa pamoja.Cha kushangaza serikali inaingia mkataba Na klabu moja badala ya kuviruhusu vilabu vyote Kwa masharti au mikataba.Tunaishauri serikali iviruhusu vilabu vyote kutumia viwanja hivyo .Ni klabu ya Azam pekee ndio INA uwanja wake lakini simba Na yanga hata wa mazoezi hawana.