Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

Basi kama ni hivyo serikali ikubali kujenga mabweni ili watoto wote wa kike wakae bweni, habari za ngonjela za mazingira magumu sijui kukaa mbali tusizisikie. Hawa waichana wa shule walio wengi wanajihusisha na ngono na kupata mimba kwa hiari yao kabisa, na wengine wanasingizia walibakwa, mbona kesi za kubakwa zinakuwa hazipo?
Na mimekuja kugundua mabinti waliopata watoto na umri mdogo wakiwa shule huwa wanajisifia kwa kupata watoto wa mapema.

Serikali itafute namna ya kuwafanya hawa watoto wabane miguu yao vizuri la sivyo, tutakuwa na taifa la wasichana wenye maadili ya hovyo.
 
🤣🤣🤣🤣

Ukishaongozwa na kipofu kipi unategemea
 
Huu uzi umekaa kimwendazake mwendazake , watoto wana haki ya kurudi shuleni no matter what, ndio maana wanasema jamaa alikua kichaa, watu hawakusikia, na majitu yalivyo mapuuzi yalikua yanamshangilia, leo hii hao hao wanamshangilia mama yao
Haya wewe mwenye akili timamu nenda kawajengee hostel hao mabinti.

Wanahitaji hostel za kulelea wajukuu zako na wakimaliza hilo watataka kuishi na hao waume zao.

Nchi ina wajinga wengi ukiwemo wewe uliyejibu hoja kijinga namna ile kisa hukumpenda Magufuli.
 
Mwendazake moja ya mambo niliyokuwa namsapoti ni pamoja na Jambo hili
 
Back
Top Bottom