Serikali hujuaje bei au na yenyewe ni mdau mkubwa wa biashara hii???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Wakuu naomba kuuliza kilasiku nimekuwa nasikia kuwa watu wameshikwa na Bangi,Cocaine's zenye /vyenye thamani ya shilingi milioni 200,swali je vitu hivi wanajuaje bei yake wakati haviuzwi madukani??wanavalue vipi na kwakutumia bei za wapi au na serikali inajihusisha na uuzaji wa madawa etc??
 
Wajua thamani yake kwa kutumia viwango vya kimataifa hasa kutoka ktk nchi ambazo biashara hii imeshamili. Kama vile MEXICO, MAREKANI, COLOMBIA na nchi nyingine za america ya kusini na Asia. Kwa hiyo wana convert kutoka kwenye dolar kwenda kwenye TSH.
 
hutumia bei za mtaani, kwa wakati huo mf kete moja ya cocane/msokoto wa bhangi huuzwaje mara mzigo uliokamatwa
 
hutumia bei za mtaani, kwa wakati huo mf kete moja ya cocane/msokoto wa bhangi huuzwaje mara mzigo uliokamatwa
Kwamaana hiyo wanawajua wanaoenda kuwaulizia bei??Na kwanini wasiwakamate??Ninani yupo tayari kuwapa bei ya bangi,madawa yakulevya??na asikamatwe??
 
Kwamaana hiyo wanawajua wanaoenda kuwaulizia bei??Na kwanini wasiwakamate??Ninani yupo tayari kuwapa bei ya bangi,madawa yakulevya??na asikamatwe??
ndo maana kuna kitu kinaitwa intelejensia, ndo maana unaona upelelezi una fanyika na madawa hayo yanakamatwa , na si kosa hata wewe unaweza kufanya uchunguzi wako mdogo ktk eneo lako kama kuna tatizo hilo, utaweza kujua na kujua si kosa, ila kukamatwa na kielelezo[madawa ] ndo kosa lenye kuhitaji kufikishwa mahakamani.vilevile hata watuhumiwa wanaokamatwa na hayo madawa/bhangi pia huweza kuulizwa thamani ya hayo madawa kisha ,serikali hoanisha na ile ya mtaani na kupata jibu sahihi.
 
Back
Top Bottom