Serikali: Hospitali ya Muhimbili kujengwa upya, itawekewa miundombinu ya kisasa

Kwahiyo pesa itakayofanya marekebisho muhimbili itatosha kujenga mikoa yote 25 hospital kama ya muhimbili? Hao watu wako wa mikoani wenywe kwenda dar kutibiwa muhimbili wanaona fahari
We bwege kweli nani anaona fahari kuja dar il-hali anaumwa anasukumwa kwenye kiti?. Una matusi ya rejareja.

Dar yenyewe inanuka,nani anaitamani. Tunataka tujenge mikoa mingine pia
 
kule Mloganzila kuna eneo kubwa sana ingefaa wangetanua kidogo iwe hivi

WAWEKE JKCI, MOI, CCBRT, EYE HOSPITAL,SOBER HOUSE AND IVF CLINIC (ALL IN ONE PROJECT)

KUWE SPECIALIZED LIKE HOSPITAL TOWN HIVI.....

KWA KULE MJINI (UPANGA) NAONA KUMEZIDIWA SANA, Wapaboreshe sawa NA PIA WANGESAIDIA WAKAAZI WA MBEZI, KIBAMBA,KIBAHA, KIMARA,KINYEREZI,MALAMBA MAWILI, MAJUMBA 6 N.K kwa hiyo ALL IN ONE PROJECT YA MLOGANZILA KUWAEPUSHIA GHARAMA ZA KWENDA MJINI KWA UMBALI MREFU NA PIA MRUNDIKANO WA WAGONJWA WODINI

NAJUA NI PROJECT KUBWA INAHITAJI HELA NYINGI ILA HUO UWEKEZAJI UKIFANYIKA ITAKUJA KUWA BINGO KUBWA HAPO BAADAE
 
Nooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.

Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.

Kajengeni Mikoani pia!
Una akili nying hongera kwa waliokuzaa
 
Nooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.

Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.

Kajengeni Mikoani pia!
Hospital sio majengo pekee Bali 80% ni wataalam na vifaa
 
Sisi wenyewe tulioko huku musoma ,tukisema" twende stend ya kwenda mikoani" ,tunamaanisha na dar ikiwemo. So dar nako ni mikoani tuu.
Musoma pia tunahitaji hospitali kubwa kuliko ya Muhimbili tumeteseka sana miaka mingi tunakwenda Bugando Mwanza
 
Nooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.

Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.

Kajengeni Mikoani pia!
Tofautisha kati ya kujenga miundo mbinu na kujenga hospitali mpya!!inawezekana wewe hata Muhimbili yenyewe hujawahi fika au kupata huduma.Ni kweli panahitaji maboresho tena makubwa tu.
 
Unaita wivu? Kwa hiyo unaona ni sawa watu wa Mikoani kuja kutibiwa Muhimbili badala ya kujengewa Hospitali pia huko ?

Kweli Viongozi ni taswira ya watu wanaowaongoza!

Naona unamtukana kiongozi kimasihara!?
 
Mikoani wakizidiwa wake Muhimbili, Dar ni kitovu cha biashara na shughuli zote za binadamu
 
Ni bora wangejenga hospitali mpya maeneo mengine labda uelekeo wa Mbagala, Tegeta au Pugu...ingesaidiana na ile ya Mloganzila na hiyo ya Muhimbili sasa
Unafikiri bila hivyo mbuzi atakula hadi wapi ?
IMG_20220119_153335.jpg
 
Unaita wivu? Kwa hiyo unaona ni sawa watu wa Mikoani kuja kutibiwa Muhimbili badala ya kujengewa Hospitali pia huko ?

Kweli Viongozi ni taswira ya watu wanaowaongoza!
Dakitari gani bingwa atakubali kuja Huko machakani,si Bora aende zake Botswana Kama Dr ulimboka

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom