Serikali, hili la Simba na Yanga ni jipu

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,066
2,214
Mods naomba hoja hii muiache hapahapa na si jukwaa la Michezo.

Siku ya Jana kulikuwa na Mechi kati ya Yanga na Zesco.

Baadhi ya washabiki waovu wa Yanga waliwavamia washabiki wa Simba na kuanza kuwapiga kwa kuwachania jezi na kuwasababishia maumivu usumbufu na hofu,kisa ni kwa kuwa wamevaa jezi za Simba au Zesco.

Kwa ukubwa wa timu hizi mbili na jinsi zilivyo na washabiki wengi hapa nchini,ni hatari sana kwa kilichofanyika,hii inaashiria Amani itatoweka siku si nyingi,pale wapenzi na washabiki wa Simba watakapo amua kulipa kisasi.

Nasema vita hiyo haitakuwa ndogo,itakuwa uwanjani na mwisho hadi mitaani,na itasambaa nchi nzima.

Waziri wa Michezo na wa Mambo ya ndani toeni tamko haraka sana,kabla hiki kitu hakijaleta maafa.Na Mimi nashauri,kama jambo hili litatokea.Timu za Simba na Yanga zifutwe kabisa kwenye ulimwengu wa Soka.Amani ni kuzidi Soka.
 
Wangewachania mpaka hizo sidiria zenu ili wakati mwingine akili zenu zikae sawa! Nimefurahishwa sana na hilo tukio. Haiwezekani waje wageni msiowajua halafu mnajifanya vimbelembele kuihujumu timu inayowakilisha maslahi ya nchi!

Hata siku ikitokea timu yenu ya simba inacheza, halafu wakajitokeza mashabiki maandazi wa yanga kutaka kuwashabikia wageni, chalaza viboko kabisa. Utani wa jadi uishie humu humu nchini mwetu. Tukitoka nje, tunatakiwa tuwe kitu kimoja.
 
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Tunatakiwa na nani.....huwezi kulazimisha.....kama huwezi kuvumilia mambo ya soka kacheze mdako....Yanga wamepagawa na sare waliyoipata kwa upumbavu wao wenyewe....kwani hao mashabiki ndio walikuwa wanacheza....na bado huko Zambia mtakutana na maafa...
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye soka..Vyombo vya dola vifanye kazi yake kwa kudeal na hao wahalifu... Timu pekee inayohitaji uzalendo ni Taifa stars..
 
Ushamba huoo!
Maafa ayalete babu yako ama nani,nyau kasoro mkia wewe.
 
Mods naomba hoja hii muiache hapahapa na si jukwaa la Michezo.

Siku ya Jana kulikuwa na Mechi kati ya Yanga na Zesco.

Baadhi ya washabiki waovu wa Yanga waliwavamia washabiki wa Simba na kuanza kuwapiga kwa kuwachania jezi na kuwasababishia maumivu usumbufu na hofu,kisa ni kwa kuwa wamevaa jezi za Simba au Zesco.

Kwa ukubwa wa timu hizi mbili na jinsi zilivyo na washabiki wengi hapa nchini,ni hatari sana kwa kilichofanyika,hii inaashiria Amani itatoweka siku si nyingi,pale wapenzi na washabiki wa Simba watakapo amua kulipa kisasi.

Nasema vita hiyo haitakuwa ndogo,itakuwa uwanjani na mwisho hadi mitaani,na itasambaa nchi nzima.

Waziri wa Michezo na wa Mambo ya ndani toeni tamko haraka sana,kabla hiki kitu hakijaleta maafa.Na Mimi nashauri,kama jambo hili litatokea.Timu za Simba na Yanga zifutwe kabisa kwenye ulimwengu wa Soka.Amani ni kuzidi Soka.
Washabiki wa Yanga in wahuni tu. Waliishamvamia na kumwibia Masau Bwire simu zake. Ndio maana, kwenye mechi ya juzi hakuja nazo.
 
Wangewachania mpaka hizo sidiria zenu ili wakati mwingine akili zenu zikae sawa! Nimefurahishwa sana na hilo tukio. Haiwezekani waje wageni msiowajua halafu mnajifanya vimbelembele kuihujumu timu inayowakilisha maslahi ya nchi!

Hata siku ikitokea timu yenu ya simba inacheza, halafu wakajitokeza mashabiki maandazi wa yanga kutaka kuwashabikia wageni, chalaza viboko kabisa. Utani wa jadi uishie humu humu nchini mwetu. Tukitoka nje, tunatakiwa tuwe kitu kimoja.

Kinachotakiwa ni amani kulindwa tu na sio lazima kuishangilia klabu yoyote ya Tanzania. Hizi klabu za soka zina mpaka wacheza ambao ni raia wa kigeni, hivyo hakuna ulazima wowote kila mwananchi kushangilia klabu ya Tanzania.
 
Wewe ni Mpumbavu. Kwa nini Simba ifutwe? Kosa la Simba hapo ni nini? Maana nyie watu mnakuwa na upumbavu flani hivi. Kosa likifanya na Simba itaingizwa Yanga. Likifanywa na Yanga itaingizwa Simba . Umesema mashabiki wa Yanga walienda wafanyia fujo wa Simba. Then unasema hizi team zifutwe. Wewe unatumia sehemu gani ya mwili kufikiri?

Mods naomba hoja hii muiache hapahapa na si jukwaa la Michezo.

Siku ya Jana kulikuwa na Mechi kati ya Yanga na Zesco.

Baadhi ya washabiki waovu wa Yanga waliwavamia washabiki wa Simba na kuanza kuwapiga kwa kuwachania jezi na kuwasababishia maumivu usumbufu na hofu,kisa ni kwa kuwa wamevaa jezi za Simba au Zesco.

Kwa ukubwa wa timu hizi mbili na jinsi zilivyo na washabiki wengi hapa nchini,ni hatari sana kwa kilichofanyika,hii inaashiria Amani itatoweka siku si nyingi,pale wapenzi na washabiki wa Simba watakapo amua kulipa kisasi.

Nasema vita hiyo haitakuwa ndogo,itakuwa uwanjani na mwisho hadi mitaani,na itasambaa nchi nzima.

Waziri wa Michezo na wa Mambo ya ndani toeni tamko haraka sana,kabla hiki kitu hakijaleta maafa.Na Mimi nashauri,kama jambo hili litatokea.Timu za Simba na Yanga zifutwe kabisa kwenye ulimwengu wa Soka.Amani ni kuzidi Soka.
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye soka..Vyombo vya dola vifanye kazi yake kwa kudeal na hao wahalifu... Timu pekee inayohitaji uzalendo ni Taifa stars..

Sasa mechi ijayo mje tena na hizo jezi zenu halafu muone mtakavyo charazwa! Hakuna namna. Lazima tuwe na uzalendo wa kweli kama Taifa.
 
Mtapata kipigo cha mbwa koko mkija kwenye mechi zetu za simba
Wangewachania mpaka hizo sidiria zenu ili wakati mwingine akili zenu zikae sawa! Nimefurahishwa sana na hilo tukio. Haiwezekani waje wageni msiowajua halafu mnajifanya vimbelembele kuihujumu timu inayowakilisha maslahi ya nchi!

Hata siku ikitokea timu yenu ya simba inacheza, halafu wakajitokeza mashabiki maandazi wa yanga kutaka kuwashabikia wageni, chalaza viboko kabisa. Utani wa jadi uishie humu humu nchini mwetu. Tukitoka nje, tunatakiwa tuwe kitu kimoja.
 
Mtapata kipigo cha mbwa koko mkija kwenye mechi zetu za simba

Mechi ya simba dhidi ya nani? Kama ni dhidi ya Ud Songo, chalaza! Hakuna uzalendo hapo. Ila kama ni dhidi ya Kagera sugar, huo unakua ni utani tu wa jadi.
 
Wangewachania mpaka hizo sidiria zenu ili wakati mwingine akili zenu zikae sawa! Nimefurahishwa sana na hilo tukio. Haiwezekani waje wageni msiowajua halafu mnajifanya vimbelembele kuihujumu timu inayowakilisha maslahi ya nchi!
Hata siku ikitokea timu yenu ya simba inacheza, halafu wakajitokeza mashabiki maandazi wa yanga kutaka kuwashabikia wageni, chalaza viboko kabisa. Utani wa jadi uishie humu humu nchini mwetu. Tukitoka nje, tunatakiwa tuwe kitu kimoja.
Mkuki kwa Nguruwe kumbukeni mechi zetu karibu zote za kimataifa yanga walikuwa mstari wa mbele kushangilia timu pinzani.
 
Wacha upuuzi wako wewe yaani serikali izifute simba na yanga kisa washabiki maandazi wamepigana?
Wewe utakuwa mgeni wa mambo ya soka duniani
Hamna usisad kawaida klabu zinaonywa au kupigwa fine au kufungiwa kucheza mechi fulani kutokana na fujo za mashabiki zao, ili iwe fundisho na kutofanya fujo tena. Ndivyo nchi nyingi za ulaya zinavyofanya.
 
Back
Top Bottom