Serikali hii ya Magufuli inatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa Magufuli ni wa pekee, na hakuna mbadala wake. Kuna nini nyuma ya jambo hili?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Kama somo linavyosema, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ukisikiliza au ukitazama vyombo vya habari mbalimbali ndani ya hii miaka 3 ya utawala wa Rais Magufuli utagundua kuwa huyu mtu anapambwa sana zaidi ya viongozi waliopita wakati wa uongozi wao. Kwa mfano TBC 1 wameanzisha vipindi vipya vingi wakivipa majina tofauti lakini kinachojadiliwa ndani ni kama kumsifia Magufuli tu.
Si TBC tu sasa karibu media zote zinamsifu.
Si vibaya kumpa mtu haki yake kama anafanya vyema ila hii sasa too much.
Si ajabu umetulia zako mahali unamwona mtu na mike yake anaanza kukuuliza "Unazionaje juhudi za Mheshimiwa"?.
Kuna nini nyuma ya sifa hizi?
Note: Wale wanaosifu kupitiliza wakumbuke kabla ya Magufuli walikuwepo Marais Tanzania na Magufuli akimaliza kipindi chake watakuwepo Marais wengine Tanzania.
 
umechukia kwanii..
 
Magufuli hapambwi na mtu, kaz za mikono yake ndio zinaongea. Amekua mchapakazi tangu akiwa wazir, Uo urais ameupata kwakua wananchi walisha ziona kazizake. Kumchafua na kuwashawishi Watanzania wamchukie kunaitaji kizazi hiki kilicho shuhudia kazi zake chote kipotee.
JPM kazizake zinaonekana kwa wakulima, wafugaji, wawekezaji, Vijana , ambao ndio kundikubwa. Uthubutu bila kujali watu watasemanini. Miradi mikubwa mikubwa.
Anaongoza kwa mfano, Akisema ana maanisha.Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi.Anapambana kwaajili ya Tanzania.
 
Redio mbao
 
Haya nenda kachukue buku 7 yako.
Vipi makinikia yamezaa negative au positive impacts kwa wananchi?
Kabla hujajibu swali hili nenda miji ya Geita, Mwanza na Kahama kaulize wangapi sasa wamekuwa unemployment kutokana na mazoezi ya makinikia
Redio mbao
 
Kama somo linavyosema, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ukisikiliza au ukitazama vyombo vya habari mbalimbali ndani ya hii miaka 3 ya utawala wa Rais Magufuli utagundua kuwa huyu mtu anapambwa sana zaidi ya viongozi waliopita wakati wa uongozi wao. Kwa mfano TBC 1 wameanzisha vipindi vipya vingi wakivipa majina tofauti lakini kinachojadiliwa ndani ni kama kumsifia Magufuli tu.
Si TBC tu sasa karibu media zote zinamsifu.
Si vibaya kumpa mtu haki yake kama anafanya vyema ila hii sasa too much.
Si ajabu umetulia zako mahali unamwona mtu na mike yake anaanza kukuuliza "Unazionaje juhudi za Mheshimiwa"?.
Kuna nini nyuma ya sifa hizi?
Note: Wale wanaosifu kupitiliza wakumbuke kabla ya Magufuli walikuwepo Marais Tanzania na Magufuli akimaliza kipindi chake watakuwepo Marais wengine Tanzania.

Ukiona hivo ujue yeye ndo rais mbovu na asiejiamini kupita wote kuwah kutokea Tz.

Kifupi ni kwamba ccm walituwekea mgombea garasa 2015. Hamna kitu kabisaaa
 
Kama somo linavyosema, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ukisikiliza au ukitazama vyombo vya habari mbalimbali ndani ya hii miaka 3 ya utawala wa Rais Magufuli utagundua kuwa huyu mtu anapambwa sana zaidi ya viongozi waliopita wakati wa uongozi wao. Kwa mfano TBC 1 wameanzisha vipindi vipya vingi wakivipa majina tofauti lakini kinachojadiliwa ndani ni kama kumsifia Magufuli tu.
Si TBC tu sasa karibu media zote zinamsifu.
Si vibaya kumpa mtu haki yake kama anafanya vyema ila hii sasa too much.
Si ajabu umetulia zako mahali unamwona mtu na mike yake anaanza kukuuliza "Unazionaje juhudi za Mheshimiwa"?.
Kuna nini nyuma ya sifa hizi?
Note: Wale wanaosifu kupitiliza wakumbuke kabla ya Magufuli walikuwepo Marais Tanzania na Magufuli akimaliza kipindi chake watakuwepo Marais wengine Tanzania.
Ungesaidia wasomaji kukuelewa kama ungewaambia kwanini ww hujamsifu Rais JPM?
 
Nikimsifu nitakuwa mnafiki .
3 yrs hujaniongezea mshahara
Wastaafu wengi hawajalipwa haki zao kwa sababu za kipuuzi, fedha za vijana walizochangia kwenye mifuko ya jamii kazibeba eti watalipwa uzeeni. Je, wakifa, yaani mtu amechoka kuajiriwa kaacha kazi, mwingine kafukuzwa, mwingine kampuni au taasisi imekufa hutaki kumpa chake akajiajiri unalamba.
Mtu anayekula cha mnyonge anautifauti gani na shetani?
 
Back
Top Bottom