Serikali hii ni ya wasomi, kelele nyingi kwani wasomi wenu hamuwaamini?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
kuna mahamsini kama sio mamia ya PHDs, Profs na watu wenye shahada za Uzamili karibu kila sekta hadi wengine wanalalamika kuwa waadhili wanapungua.

kwa nini tusiwaachwe wasomi hawa waifanyie mambo Tanzania ili kusudi mwisho wa siku tuwapime kwa miaka yao mitano au kumi juu ya wanachokifanya?

haya malalamiko kila kukicha yanaleta picha gani masikioni na machoni pa wasomi hawa waliojitoa muhanga kushirikiana na serikali kulikomboa taifa?
 
Wasomi wenyewe bendera fuata upepo. Walishatusainisha mikataba ya kimangungo mingi tu. Tuwaamini kwa lipi hilo?:mad::mad::mad:
 
Unawaongelea wasomi Wa fisiem?sabb ndio waliosaini mikataba yote mibovu!
 
kuna mahamsini kama sio mamia ya PHDs, Profs na watu wenye shahada za Uzamili karibu kila sekta hadi wengine wanalalamika kuwa waadhili wanapungua.

kwa nini tusiwaachwe wasomi hawa waifanyie mambo Tanzania ili kusudi mwisho wa siku tuwapime kwa miaka yao mitano au kumi juu ya wanachokifanya?

haya malalamiko kila kukicha yanaleta picha gani masikioni na machoni pa wasomi hawa waliojitoa muhanga kushirikiana na serikali kulikomboa taifa?

Hao unaowaongelea sio wasomi bali ni watu walioenda chuoni kujifunza kutengeneza sentesi za kiingereza. Ukiona wasomi wamejaa huko serekalini lakini mawazo yanayofanya kazi ni ya mtu mmoja hata udhaifu wake kuwa wazi, basi uje hapo hakuna wasomi bali waganga njaa waliopita chuoni.
 
kuna mahamsini kama sio mamia ya PHDs, Profs na watu wenye shahada za Uzamili karibu kila sekta hadi wengine wanalalamika kuwa waadhili wanapungua.

kwa nini tusiwaachwe wasomi hawa waifanyie mambo Tanzania ili kusudi mwisho wa siku tuwapime kwa miaka yao mitano au kumi juu ya wanachokifanya?

haya malalamiko kila kukicha yanaleta picha gani masikioni na machoni pa wasomi hawa waliojitoa muhanga kushirikiana na serikali kulikomboa taifa?
Mkuu usomi wao hauna tatizo,lakini kuhitimu sio mwisho wa mafunzo,akina so and so inabidi kuingia kwenye uwanja mpana wa elimu vitendo na elimu mbinu za medani,ili kupata picha kamili ya kuelemika.Exposure ni ndogo ndio chanzo cha kuuza almasi ya bilioni 200 kuiuza kwa milioni 20.
Wajinga ndio waliwao.
 
kuna mahamsini kama sio mamia ya PHDs, Profs na watu wenye shahada za Uzamili karibu kila sekta hadi wengine wanalalamika kuwa waadhili wanapungua.

kwa nini tusiwaachwe wasomi hawa waifanyie mambo Tanzania ili kusudi mwisho wa siku tuwapime kwa miaka yao mitano au kumi juu ya wanachokifanya?

haya malalamiko kila kukicha yanaleta picha gani masikioni na machoni pa wasomi hawa waliojitoa muhanga kushirikiana na serikali kulikomboa taifa?
Kulikomboa taifa? Kwan lilikua limetekwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom