mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
kuna mahamsini kama sio mamia ya PHDs, Profs na watu wenye shahada za Uzamili karibu kila sekta hadi wengine wanalalamika kuwa waadhili wanapungua.
kwa nini tusiwaachwe wasomi hawa waifanyie mambo Tanzania ili kusudi mwisho wa siku tuwapime kwa miaka yao mitano au kumi juu ya wanachokifanya?
haya malalamiko kila kukicha yanaleta picha gani masikioni na machoni pa wasomi hawa waliojitoa muhanga kushirikiana na serikali kulikomboa taifa?