Serikali hapa mmeniibia na pengine mmewaibia na walimu wengine

the ultimatum

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
402
114
Baada ya muda wa kawaida tuliozoea wa kupokea mishahara yetu kupita hatimaye mshahara umeingia ila cha kushangaza ni kitu kimoja na ningeomba na walimu wengine mlitazame hili ili tuweke kumbukumbu sawa, hususani kwa walimu walioajiriwa katika mwaka huu na wenye ngazi ya degree kwani naamini daraja la mishahara tutakuwa tunafanana.

Mshahara ulioingia leo tar 30/11/2013 kwa wilaya ya Mwanga. umepunguzwa 50,000/= nzima.
Naomba walimu waangalie mishahara yao halafu waje wathibitishe hapa jukwaani.

Vinginevyo wahusika watuambie kwanini mshahara umeingia pungufu. Inamaana kale kanyongeza kadogo ka mwaka huu kalikuwa ni danganya toto, au ndio mmeamua kuchukua mishahara halali ya walimu kufidia deni la serikali la trillioni 22.
 
mmmh,pole mdau,
mzgo nauona upo okay,kinondon kwa wauza unga
 
mtaalam ...wameshaanza kukata hela ya mkopo wa loan board ''HESLB" wenzako shazoea sasa..ila at first inakuwa kama umepigwa gumi la tumbo
 
Loan inakatwa baada ya miaka miwili kupita, mimi ninamiezi tisa tu tangu kuajiliwa

No mkuu...the fact is loan board, wamebanwa na hii issue ya madogo kuwa eligible kupata mkopo and yet wakawa hawana fund za kucover the whole number...KAMA UTAKUMBUKA MALALAMIKO YALIKUWA MENGI..na wakaahidi kuwa watafanya means wawape wote...'''SASA HIYO ALTERNATIVE ILIKUWA KUFYATUA MADENI NO MATTER UKO KAZINI MDA GANI"""calculate hiyo hela waliyoikata ikifika miaka kumi bado wengi watakuwa hawajamaliza deni'' na deni linataliwa lilipwe in ten years time....SUBIRI SALARY SLIP MKUU au nenda utumishi halmashauri yako ukatake ufafanuzi mkuu....
 
Fine nitafuatilia salary slip, kama watakuwa wamekata kwa sababu ya loan board sitakuwa na shida. Na kama sababu itakuwa ni kutafuta pesa za kuwawezesha wengine wapate mkopo pia sitakuwa na tatizo kwani nafurahi kuona vijana wenzangu pia watapata mkopo. Nitafuatilia kiongozi
 
Heslb wanakata muda wowote mkuu sio lazima itimie miaka 2.lakini wanakata 37536
 
Loan inakatwa baada ya miaka miwili kupita, mimi ninamiezi tisa tu tangu kuajiliwa

Wanaanza kukata mwaka moja baada ya kumaliza chuo,kaangalie salary slip makato yako yamelipia nini ndio uje na hoja humu jf,si kukurupuka
 
daa hata mm nimekupa hela imepungua kiasi hicho Si kuelewa ni nn ok, let me wait for salary slip
 
Wanaanza kukata mwaka moja baada ya kumaliza chuo,kaangalie salary slip makato yako yamelipia nini ndio uje na hoja humu jf,si kukurupuka

Punguza mihemko pimbi we!!
Hapa hoja ni kuangalia salary slip, sasa hayo ya kukurupuka yanakujaje?? Na kama nitakuta pesa walizonikata si za HESLB??? Au unajiona unahati miliki na JF? n.y.a.m.b.a.f!!!
 
Hapa umeonyesha ualimu wako katika rangi halisi.
 
Punguza mihemko pimbi we!!
Hapa hoja ni kuangalia salary slip, sasa hayo ya kukurupuka yanakujaje?? Na kama nitakuta pesa walizonikata si za HESLB??? Au unajiona unahati miliki na JF? n.y.a.m.b.a.f!!!

We kama ni mwalimu basi huna maadili.Kazi itakushinda mapema,unaonekana una mihemuko ya kitoto sana.Jichunguze vizuri huna mda kwenye fani hiyo ya ualimu.Pole.
 
Kwahiyo kwasababu ni mwalimu nimnyenyekee kila mtu, hata kama anafanya mambo za ajabu. Yeye alikuwa na sababu gani ya kutoa lugha za maudhi?
 
Back
Top Bottom