the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 402
- 114
Baada ya muda wa kawaida tuliozoea wa kupokea mishahara yetu kupita hatimaye mshahara umeingia ila cha kushangaza ni kitu kimoja na ningeomba na walimu wengine mlitazame hili ili tuweke kumbukumbu sawa, hususani kwa walimu walioajiriwa katika mwaka huu na wenye ngazi ya degree kwani naamini daraja la mishahara tutakuwa tunafanana.
Mshahara ulioingia leo tar 30/11/2013 kwa wilaya ya Mwanga. umepunguzwa 50,000/= nzima.
Naomba walimu waangalie mishahara yao halafu waje wathibitishe hapa jukwaani.
Vinginevyo wahusika watuambie kwanini mshahara umeingia pungufu. Inamaana kale kanyongeza kadogo ka mwaka huu kalikuwa ni danganya toto, au ndio mmeamua kuchukua mishahara halali ya walimu kufidia deni la serikali la trillioni 22.