Serikali hakuna kulegeza kamba!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Kama kawaida yao wameanza mikwara kwa sababu tu sasa hivi wanatakiwa walipe kodi nao hawataki hivyo hakuna kulegeza kamba ni lazima kodi zetu walipe kama hawataki waende ni bora kutokuwa na Kampuni klk kuwa na Kampuni inayotunyonya!

Hawa Wazungu wamezoea kutuona Waafrika mazoba sana, hawataki kulipa kodi halafu hela yote wanapeleka kwao kisha wanarusha vijisenti kama development aid kuajiri mahouse nigga ambao wanawatumia kama malobbyist na ndiyo waliojaa hapa JF kumtetea Mzungu, wanajenga choo hapa na pale, sasa tunasema tunataka kodi yetu na hatutaki development aid!

Makampuni ya simu yanafanya transactions za Mbailioni ya Shilingi kupitia Mpesa, vocha n.k. lkn kulipia kiasi cha hicho kama kodi hawataki, fvck them!
 
5-Stars-Colonization.png
 
Ni kweli ndiyo maana hawakutaka kutajwa majina, kama unajiamini kuwa unataka kuondoa biashara zako nchini kwa nini usijitaje tukujue?

Tena hapo ndipo vizuri, wao ndo watakuwa wamevunja mikataba kama ni watu wa migodi, kwa hiyo wakiondoka tu Tunawakabidhi wachina hiyo migodi.
 
Msimamo wa Rais Magufuli ni wa kuungwa mkono. Tunao akina Bakhtessa wanaweza kuziba pengo
 
Waondoke hiyo dhungu ibia chichi chana ..iko fanya janja mingi shana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom