Serikali haijatanka kuwa serious kuzuia corona

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,995
2,000
Msitumie kushauri watu wajikinge, tumieni lugha ya amri, la sivyo watu hawataacha kwenda misibani hawataacha kujikinga sababu wakijikinga wanaonekana waoga na wa ajabu, uku makwetu watu wakubwa wanazidi kupukutika ghafla, kama ndo corona hii, basi inauwa sana watu wazima hasa wanaume
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom