Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Eti serikali haijafilisika! Kuhusiana na ajira kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati kila siku siku waongeza muda kwa kuagiza makundi mengine kutuma vyeti kwa ajili ya uhakiki. Kweli serikali yetu na mbinu zake zinaishangaza sana jamii. Hii ndo serikali tuliyoambiwa haitakuwa na michakato? Sasa mbona ilichokifanya ni zaidi ya michakato! Eeeh Mola tuliende kwa huruma yako maana hili suala ambalo kila siku linaibuliwa kivingine linatia hasira sana katika jamii yetu