Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 608
FTC inatengenza wafanyakazi sio wavumbuzi.Me nadhani nipo tofauti... I wish ingekuwepo kitu kama hiki.
Kwa wale ambao wangependa kupitia kwenye engineering fields ( Mechanical, Civil, Electrical, Computer ) wangeanzia tu diploma... A level kwa maoni yangu binafsi ni total wastage of time kwa watu ambao ni kwa ajili ya engineering fields.
Uje tuelekezane na sio tubishane.
Sent using Jamii Forums mobile app