Serikali fungeni u/taifa;mwakabelela,tenga wizi mtupu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali fungeni u/taifa;mwakabelela,tenga wizi mtupu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 21, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Ndugu watanzania nafikiri tumechoka sasa kwa hizi story za mwakalebela na wenzake za kutaja kiasi cha ajabu tofauti na uwanja ulivyojaa;hakuna ambae alifikiri hata siku moja kwamba ule mchezo wa mechi za taifa stars na mapato yake watu wakaa kimya;wakajua wanaweza kuendelea kuiba
  serikali leo imetangaza kushangazwa na mapato yanayoonekana baada ya mechi tofautishwa na watu walivyojaa uwanjani..LEO HII MAPATO YA YANGA NA SIMBA YAMEPATIKANA MILLION 230...LOH SHAME TENGA SHME MWAKALEBELA NA WENZAKO....HAKUNA CHA UONGOZI WALA NINI WIZI MTUPU MMEBAKI KUWAHADAA SERIKALI LAKINI SASA HIVI WAMESHTUKA POLEN NA MECHI ZIJAZO....
  Je huu wizi wa mwakalebele,Tenga na TFF pamoja na viongozi wa Timu UTAISHA LINI...TUENDELEE KUWAVUMILIA...KWA MAONI YANGU BORA SERIKALI UUFUNGE UWANJA KWA MUDA;maana pesa zinazopatikana ndizo zinatarajia kutunza uwanja ,sasa iweeje kila uwanja ukijaa mapato yanatajwa tofauti...
  Waziri wa michezo tunaomba kama wameiba sera ya CCM sasa KAMA UJAIBA UIIBI TENA,then kama hawaakuiba vya kutosha embu tuwaachie waendelee kula na uwanja wao wa UHURU......
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hujui kwamba TZ kila kitu hakiendi mpaka aje mwekezaji, ndio hapo akija utasikia zinapatikana fedha kwa kueleweka. Zaidi utasikia wanyonge wamekamatwa na Tiketi feki, wachapishaji hawakamatwi.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Mfumwa thiiiiiiiiiiiiiiiiiis is toooooooo much....haaaaaaaaaaaah
  watu wanajazana inamaanisha hata shule walikuwa hawajui kudesa
  wanadesa kasa uwezi iba hela nyngi hicyo kirahisi watu wakuchungulie
   
 4. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mwekezajiii??? si ndo tunawapinga kila kukicha kwamba kwa nn ubinafsishaji kila kituuu???

  jamani watz wenzangu hatupendi kueleza kilema chetu!!! uwezo wa kusimamia mambo HATUNA...POROJO NA LONGO LONGO kibao zikichagizwa na USANII wa dezoooo...

  huo uwanja kusimamia TFF hawana ubavu sana sana wataishia kupiga deal tuuu hapoo..
  wizara nikiwaangalia nao ni wasanii wengine wanabwata tuu kwani hawakutambua mapungufu ya TFF kusimamia mapato ya uwanja ulee??? wao ndo wenye mamlaka ya kuhakikisha anapatikana msimamizi mwenye sifa na atakayeuendesha kisasa kabisaa..

  Che nkapa umetuachia jipu jingine ambalo sifa hatukupenda kukupa kwa jitihada ila sasa kusimamia ndo vileeeee....wajanja wanafaudi..

  ujinga mtupu nchi amabayo zaidi ya miaka 40 mapato ya mpira 30m ndo zilikuwa za juu mno leo kwa mfumo ule ule wapate 600m watangazeeee??????

  wizara acheni kelele fanyeni maamuzi kuokoa uwanja uleee...kwa mwendo huo 10yrs ule uwanja utafanana na ule wa garden ilala
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa nini hatuipeleki hii kule kwao kwenye michezo?
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Watanzania bado kabisa tunashindwa kijisimamia sisi wenyewe, sijui TUMELOGWA? yani kila jambo kwetu ni deli tunapenda sana mteremko na ndio maana hatuwezi kufanya jambo lolote lile la kimaendeleo, sasa pesa za kiingilio uwanjani tu watu wana fanya dili.

  Hivi tutafika kweli kwa staili hii??????
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  mi nafikiri kuna umuhimu wa kuwapa hao hao wachina wasimamie mapato wakisaidiwa na watanzania wachache labda mabadiliko yanaweza kuja;mchina amekuja kutafuta
   
 8. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Unajua kinachotakiwa ni kuwa na sheria kali sana kuhusiana na mambo ya rushwa na utafafunaji pesa, unajua tukifanya kama china Tanzania tuta-emerge haraka sana. mtu akila rushwa kitanzi, wakipatikana watatu, wengine watanyooka.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  mtu akila rushwa kitanzi, wakipatikana watatu, wengine watanyooka.
  __________________
  Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mkuu the farmeer si tutaisha maana wataanza na rushwa za chini wakina sie...kitanzi apo mmh....tuko pamoja buddie
   
Loading...