Serikali fanyeni tathimini

TEK

Senior Member
Jul 13, 2015
184
34
Leo nimebahatika kufika Musoma kwa Mara ya kwanza. Kilichoniumiza nipale nilipofika bandarini nikakuta kwqnza bandari haifanyi kazi ilasasa nilichoka nilipomuuliza muhudumu kuwa ni meli za kutoka wapi hufika katika bandari ikiwainafanya kazi?
Jibu ni kuwa zinazotoka Mwanza, Bukoba na Dar es Salaam.
Serikali yangu ajilini watu wenye weledi na kazi mnazotoa
 
Back
Top Bottom