Serikali Dhaimu Hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali Dhaimu Hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gerald, Feb 23, 2011.

 1. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Napenda kutoa maoni yangu Hivi hii nchi imeshakua ya watoto? tunao wasome, wazee, etc ila utashangaa vitu vinavyofanyika kama vya kitoto bila hata kukemewa. Ninamaanisha huyu jamaa mmiliki wa Dowans kaja kujitanga hapa na anapiwa ulinzi wa kufanya atakalo mfano anawaambia waandishi wa habari msinipige picha yeye ni nani? pili alisema amealikwa na serikali nayo serikali ikakana mara tanesco wamenialika kuja hapa nchini nayo tanesco ikakana kwa mujibu wa taarifa za jana. lakini leo utashangaa kuwa jana alifanya ziara ya kwenda kuona mitambo yake na eti waandishi wa habari walinasa picha yake bila yeye kujua entelinjensia yetu hipo wapi mpaka mtu anjichukulia madaraka anvyotaka? au ipo ARUSHA tu, jingine amekwenda ikulu hiyo jana na mwisho tunasikia tanesco wanatarajia kufanya mazungumzo naye leo ingawa jana walikua wanapinga hawajamwalika na baya zaidi huyu january makamba nahisi naye yupo kwenye chain ya kugawana hizo 94b kashikilia bango la kutumika mitambo ya DOWANS na wakati kesi bado mbichi hapa wanasheria wetu mpo wapi? mbona mmelifumbia macho hili la january? huo uaraka tokea tukae giza mpaka leo kama kununua mitambo kama hiyo ungekuta tiari ilishafika na inafanya kazi ila kuna nini hapa na huyu mdudu mtu Dowan? Rais yu wapi? je kuna ualali gani wa kutumia kitu cha mtu ambacho bado mahakama haijatoa ukumu hapo atujiingiza kwenye mtego kweli? wanasheria tufahamisheni jamani nyie usalama wa taifa mpo kwa ajili gani sasa hapa nchini na baya jingine tokea huyu jamaa aje jana ITV ilishindwa kurusha kipindi cha DOWANS na hata mpaka sasa gazeti la mwanahalisi mtandaoni alipatikaniki means wameblock website yao kumlinda mwanajeshi tapeli wa Dowans, hivi tunaenda wapi wajameni
   
Loading...