wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Ukipita Kariakoo mtaa wa Congo au Sikukuu,Tandamti,Narung'ombe Lindi pamoja na viunga vinavyozunguka soko la Kariakoo kuna wafanyabiashara wanaotoka Comoro na DRC Congo kwa kweli ni wengi sana na wanaingia hapa nchini bila kukaguliwa .
Kwa wingi wa wafanyabiashara na wale wanaoenda kufanya mahitaji yao kama msipokuwa makini tutaangamia maana hawa raia wa kigeni wako wengi mno wengine wanakuja kwa njia ya boti au mashua hivyo uwezekano wa kupita njia bandia ni mkubwa na hawakaguliwi ipasavyo hivyo mamlaka hisika kuweni makini mnaweza dhibiti mipaka ya uwanja wa ndege na mipaka ya beria za getini kumbe upande wa majini hamjafanya kitu.