Serikali chukueni ushauri wangu huu kwenye mikopo ya Halmashauri

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
695
500
Utafiti wangu umebaini kwamba kunahela za MIKOPO hii ya harmashauli inapotelea kwa wananchi AMBAO kwasababu za kukosa uwered wa kusimamia MIRADI hela zile hua zinakufa kwakukosa uzoefu wa biashara na ujasiliamali kwa ujumla..

Ushauri
Kama nikweli serikali hua mnania nzuri ya kusaidia wananchi na sio kutia shukran za kuchaguliwa kwenye uchaguzi, basi nawashauri badilisheni kanuni au ongezeni kipengele cha mikopo binafsi na sio vikundi. Tafuteni taarifa za vijana au akina mama au walemavu ambao wapo kwenye mitaa yote tanzania kwa kuchukua data kwenye s/mitaa wao wanadata za watu wa makundi hayo ambao ni wazoefu wa biashara na ujasikiamali waiteni kaeni nao waulizen wanahitaji nini ili waendelee na kuwasaidia wenzao kuwapa ajira?

Kumbukeni vikundi vinaingiza watu wa aina tofauti wengine wanakua chanzo cha miradi kufa....Nitafuteni niwape mbinu za kutumbia mbinu hyo...Niamini itazaa matunda makubwa sana kuliko kukopesha vikundi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom