Serikali chini ya mwamvuli wa CCM tupo salama

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,201
Ndugu watanzania hasa vijana napenda asubuhi ya leo tutafakari kuijena ccm imara na yenye wasomi wengi na sio makada ambao wanawashwa matumbo na midomo kupayuka ila ni walafi na wanao angalia masilahi zaidi.

Chini ya Rais wetu Dr John Pombe Magufuli tunayo nguvu kusema tunauwezo wakujenga chama chenye nguvu na imara ktk ustawi wa wana nchi wake. Mageuz alio yaanzisha ni mapambano ya kweli kuijenga ccm imara chama imara ktk africa.

Njia pekee kufikia lengo ni kwa kila kijana na mwenye uwezo kuwa mwana ccm imara nakukitetea chama na kiongoz wake mkuu. Dira yetu wana ccm lazima iwe kushika dola na sio kushika dola kwa miaka 50 ila hata miaka 200 ijayo nasema hivyo kwakuwa ccm imara itajenga taifa imara lenye nguvu africa na duniani. Tunaitaji kujenga chama kiwe kama chama cha kikomnisti kule China na hili linawezekana kwa sisi vijana kuhamasishana kuwa kweli wazalendo ndani ya ccm.

Kama chama kunamahali tulikosea kuwapa watu madaraka kwa propaganda pasipo kuangalia vitu vingine as result chama kilishikwa na watu fulani ambao leo wanakitesa chama.

Nilazima tujuwe mchawi wa chama ni wanachama unapo ona mwanachama anainanga serikal yake na kuwa na makundi hiyo ni dalili ya IQ ndogo maana huwez kuwa kada mkubwa wa ccm alafu unakitisha chama na kunanga viongoz wake ukasema wew mwanachama hai tena kindakindaki. Hili lazima tulikatae na kusema inatosha.

Kila mwanachama popote alipo akikinadi chama na kusema mazuri yake tangu kwa viongoz na chama basi tutaweza kufika lengo tumekusudia hakuna kushindwa hakuna kulala mpaka kieleweke.

Tabia mbaya ya wanachama wachache kukinanga chama nakujiona wao ndio chama na chama ndio wao nilazima tutafute dawa yake na dawa yake lazima iwe kali sana kiasi kila mtu ajuwe siri za chama ni siri za chama na sio vinginevyo.
Hatuwezi jenga chama chini ya wasaliti na wasaliti hawana nafasi ndani ya chama.
Mwanachama akipata nafasi either yakuteuliwa na mwenyekiti au baraza kuu nilazima mtu huyo ajuwe cheo ni dhaman na akubali dhamana hiyo.

Mwangalieni Mh Philipo Mangula na sote wanachama tujifunze kwake. Aliwahi tenguliwa hakulalamika wala kisema lolote juu ya chama leo tunaona uvumilivu wake na darasa tunalipata sasa. Sote ni waajiriwa wa chama na tunayo dhamana kitaifa kulijuwa hilo na sio vingine.

Tukumbuke serikali ya Tz chini ya mwamvuli wa ccm tupo salama na pia tukumbuke maneno ya Rais mstaafu Benjamin Wiliam Mkapa yakuwa kila kiongoz wa ccm kuanzia Rais mpaka chini wakitetee chama na sio vinginevyo na wasiseme mm waseme chama maana chama ndio kimewapa dhamana yakuwa viongoz.

Mungu ibariki Tz na viongo wake. Amen
 
Siku hizi hicho chama kuendelea kubaki madarakani ni kwasababu ya nguvu ya dola tu hakuna jingine!
 
Siku hizi hicho chama kuendelea kubaki madarakani ni kwasababu ya nguvu ya dola tu hakuna jingine!

Afadhali ume mwambia Ukweli ,na ndio Sababu walitumia Nguvu nyingi kuipinga Rasimu ya Katiba iliyo simamiwa na Mzee Warioba.Pesa zote zile zimepotea ili kutuhadaa Wananchi.
 
Alianza na kukubalika kwa 96%..

Kwa miaka 2 na nusu madarakani..
- Kajenga barabara
- Kajenga flyover
- Kazindua mpaka vilivyokwisha zinduliwa awamu zilizopita
- Kagawa hela barabarani
- Katumbua wengi tu
- Kagawa Mapapai barabarani
nk nk..

Now amepungua kukubalika kwa -41%, sasa ni 55%.

Kiukweli bila kupindisha maneno kwa sasa anakubalika kwa 30%..

Na bado.
 
vipi kwa yule anaesema Tanzania yangu,au Tanzania ya Makuf.. anapatia au anakosea?au yeye hiyo haimuhusu? na wale wastaafu wanaosema haki haifuatwi wafukuzwe?
 
Tupo salama kivipi,wakat watu wanatekwa, na kupigwa risasi huku CCTV camera zinang'olewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom