Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

Wenzako hatukurupuki. Majibu ya maswali yako ya kizushi haya hapa:

Friend of Gaddafi named to head Libyan parliament

Friend of Gaddafi named to head Libyan parliament | Top News | Reuters

Gaddafi (Gadhafi) Flees Tripoli, Libyan Parliament Building On Fire, Death Toll to 400

Gaddafi (Gadhafi) Flees Tripoli, Libyan Parliament Building On Fire, Death Toll to 400 | GLOBALCONFLICTMAPS.COM

Libya Parliament Chief Claims Calm Restored In Most Large Cities

http://www.zawya.com/story.cfm/sidZW20110222000272#ZW20110222000272

Thank you for the useful info....................
 
Sofia simba kutoka kuuza pombe za kienyeji bar mpaka uwaziri.
Kwanza tunataka kujua hao foreigners wanaowapa chadema fedha katika majadiliano walitumia lugha gani? Maana SS hakipandi hata chembe.
.

Mkuu Kiby....

Kuna wanasiasa wengine wenye kuheshimika wanauza pombe bar mpaka leo hii nadhani bora ya huyu juu ya matatizo aliyonayo (kama yapo) kuliko hao wanaoendelea kuuza pombe au kwakuwa hao wengine wanauza pombe za kisasa na si za kienyeji? Nadhani hoja yako ni dhaifu sana jitahidi kujenga hoja zenye mashiko mkuu.

Ni ushauri tu...........
 
huyu mama ana mental retadation, wanawake kama yeye wamebaki wachache sana, na kama anategemea kuadhimisha siku ya miaka 100 ya siku ya wanawake duniani kwa akili hizi ni wazi kuwa hata miaka 1000 bado hakutakuwa na mabadiliko kwa wanawake. sofia, wanawake tumeamua kufuata the right way, cdm, iwe kwa maandamano au kwa lolote mradi kieleweke, wewe na vilaza wenzio endeleeni kujikomba huko ccm mpaka utu wenu utakapokoma.
 
and that is the first stage; soon we shall see anger (PM has promised this, lets wait for the Pres to come back), bargaining (they will always find a chance, this is CCM bwana and after all politicians are sometimes 'dogs', yes dogs), a bit of depression knowing their fate wouldn't be as grand and then when there is nothing left for them it'll come to acceptance of the fact that they are doomed!

I can see the free fall of CCM Monarchy!
 
Tumechoka na mapompompo wa ccm. Ndugu zetu wapendwa Mh. Tundu Lisu na Mabere Marando ni kwa nini msifungulie kesi huyu mwanamke ali akayathibitishe hayo aliyoyasema kuwa Chadema inapokea pesa kutoka nje kwa ajili ya kuharibu amani ya nchi pia mnawalipa waandamanaji ili waje kwenye maandamano kitu ninachoamini ni uongo wa asilimia 150.

Nafikiri hilo linaweza kuwa funzo kwa walopokaji wengine ndani ya dudu ccm.
 
Mwaka huu, ccm watabeba makopo! hapo bado haijafika 2015! Kila fisadi ataropoka hadi, wataanza kutukanana wenyewe hadharani! Wazee wa kazi, CDM nyie kazeni buti, ni mikutano na maandamano ya kuimarisha chama na kuonyesha udhaifu wa hii sirikali hadi kieleweke!
 
Maneno ya Simba yana mantiki, si rahisi kuandaa maandamano kila kukicha, unahitaji bajeti nono. Jee fedha zinatoka wapi?

Na kule Tunisia na Misri watu walikoandamana siku kadhaa nani alikuwa anatoa pesa toka nje ya nchi zile..wacha fikra finyu...watu wakiguswa they can do anything my brother!
 
Nawasiwasi na thinking capacity ya Mh.

Matamshi haya ya Sophia yanaonesha kuwa serikali ya Kikwete inaamini kuwa foreign governments are funding CHADEMA ili kifanye maandamano na kuleta vurugu nchini.

Watawala wanajiaminisha kuwa eti CHADEMA inawalipa wale maelfu ya Watanzania wanaojitokeza kwenye maandamano.

Msimamo wa serikali ya Kikwete imenikumbusha ya Gadaffi wa Libya ambaye US President Ronald Reagan alimuita kama "The Mad Dog of the Middle East" way back in 1986.

Gaddafi alisema: "Wananchi wa Libya wananipenda sana. Wanaoshiriki maandamano wamelishwa madawa ya kulevya na Al Qaeda na Marekani."

Pia kwa kusema "Kama kuna matatizo yoyote, serikali itayashuhulikia," hii ina maana kuwa watawala hawatambui matatizo lukuki ya wananchi wa Tanzania ambao ni kama kila mmoja kabeba gunia la misumari -- mgao wa umeme, Dowans, ufisadi, umasikini, ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, maisha magumu, kuporomoka kwa elimu, afya duni, ukosefu wa maji, maradhi, viongozi serikalini kutokuwa na maadili, wananchi kunyimwa haki zao, na mengineo mengi.

The CCM government is in denial.
 
Yaani cheap propaganda kama hizi za watu wa elimu ya kuungaunga nazo unazikubali?? Tatizo la CCM kwa vile wamezoea kuwalipa watu na kuwasafirisha kwenda kwenye mikutano yao sasa wanafikiri maandamano yote lazima gharara iwe kubwa. Hawajui kwa jinsi hali ilivyo gharama ya CHADEMA ni kuwapelekea wananchi ujmbe kwamba kuna maandamano hapa na wananchi watakuja. Sasa CCM jinsi walivyotumia hela kwenye uchaguzi na kukausha akaunti za serikali hawawezi tena kuitisha maandamano anytime soon. Ndiyo sababu wanaleta Vioja badala ya kujibu Hoja.

CCM amefilisika kisiasa nahawana tena mwelekeowao wamebakia wakipiga domo badala ya kutekeleza ahadi zao ili wananchi waweze kurejesha imani kwao.

Viva CHADEMA mwendo uwe huo huo mpaka pumzi ya mwisho. Hili dubwana CCM liko katika dakika za mwisho kuingia kaburini.
 
Kwa nini CCM wanadhani wananchi hatuna akili za kupembua mbivu na mbichi hadi miaka hamsini imefika tangu tupate UHURU wao wanaona sisi ni madondocha tuu yaani tukitaka kuandamana kutoa vilio vyetu lazima mtu atuhonge basi wafreez hizo account za CDM waone kama hatutaandamana kwa vile tumenyimwa pesa
 
Huyu mama sidhani kama huwa anafikiri kabla ya kutenda, kuna siku nilimwona kwenye runinga akipokea msaada wa komputa (desktop) tatu kutoka serikali ya china, nilitamani angekuwa karibu nimzabe kibao, yaani nchi yetu na ukubwa wake tunahitaji msaada wa komputa tatu kutoka china?

Bila aibu waziri mzima anaita vyombo vya habari na kamera zao kuja kupokea desktop tatu.
 
Kama forum ya great thinkers, hatupaswi kujadili kwa jazba matamshi ya mfa maji. Tunamfahamu huyu mama, ni moja wa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa lukuki.
 
kuna uchunguz uliofanyika ambao umetufikia muda si mrefu kuwa chadema kinapokea fund from ROME

Je hii mnaionaje wanajamii?:llama::target::A S 100:
mimi naona kama uwendawazimu na upunguani ndo unawasumbua ,jumlisha ubaguzi na udini unawapunguzia uwezo wa akili zenu kufikiria.
 
I guess she was suffering from PMS when being interviewed! she's thinking capacity less that of a corpse!

i can't imagine how can CHADEMA afford to pay such huge crowds! what she's commented reveals the emptiness of her upstairs.
 
Mkuu Kiby....

Kuna wanasiasa wengine wenye kuheshimika wanauza pombe bar mpaka leo hii nadhani bora ya huyu juu ya matatizo aliyonayo (kama yapo) kuliko hao wanaoendelea kuuza pombe au kwakuwa hao wengine wanauza pombe za kisasa na si za kienyeji? Nadhani hoja yako ni dhaifu sana jitahidi kujenga hoja zenye mashiko mkuu.

Ni ushauri tu...........

.
Hoja yangu hapa sii kuuza pombe japo nilionyesha tu alikotokea huyu mama kabla ya kuwa waziri. Hoja yangu hapa ni kwamba hao anaodai Sofia kuwapa chadema pesa kama tunavyojua watoa pesa wengi ni wazungu, lugha yao ni kiingereza. Sasa SS kajua vipi kilichoongelewa. Kama hutaki kunisadiki basi atafutwe sofia atoe hayo madai kwa lugha ya kiingereza.

Akiweza kufanya hivyo sii tu nitayaamini madai yake bali pia nitaweza kumzawadia pesa taslimu ya kitanzania laki moja.
.
 
Back
Top Bottom