Serikali, Bunge, Ndugai na Rais Magufuli mwombeni radhi Mhe. Lissu na Watanzania

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Tukio la Mhe. Tundu Lissu kupigwa risasi zaidi ya 38 na kuponea tundu la sindano zaidi ya mwaka 1 uliopita linaendelea kuitesa, kuidhalilisha na kuimbua Seikali ya Awamu ya 5.
Baada ya Mhe. Lissu kupatiwa matibabu Nairobi, Kenya kwa miezi 4 na kupata nafuu kubwa hatimaye kuhamishiwa nchini Ubelgiji ambako bado yuko kwenye hatua za mwisho za matibabu yake, afya yake imeimarika vya kutosha.

Kitendo cha Mhe.Lissu kupata nafuu na kuruhusiwa kuanza kutembelea baadhi ya Mashirika ya Habari huko nchi za nje ili KUELEZEA UKWELI WA KILE KILICHOMTOKEA kimeishtua Serikali ya Rais Magufuli na imeanza kuweweseka na kulalamika kuwa ati Mhe. Lissu anazurura zurura kuichafua Serikali, Rais na Bunge kwa kusema UONGO! Hiki ni kichekesho cha kufungulia mwaka 2019. Hivi kosa la Mhe. Lissu ni ni hasa? Kuhojiwa na Mashirika ya Habari ili aelezeee kile kilichomtokea baada ya KUSHAMBULIWA KWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA AMBAO HADI LEO BADO HAWAJAKAMATWA..!!

Ukweli wa anachokileza Tundu Lissu huko nchi za Ugenini kinatosha kabisa kuonesha hii Tanzania kwa sasa ina UTAWALA WA AINA GANI. Tukio au matukio kama haya hayakuwahi kutokea kwenye awamu zote zilizopita ukianzia kwa Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(RIP).
Kinachosikitisha ni kwamba badala ya Serikali, Bunge na Rais Magufuli kuchutama ili kuficha aibu yao wao wameanza kukurupuka na kutimua mbio huko na kule ilhali DUNIA yote inawaona walivyo utupu na uchi wa nyama, Kuna watangazaji mahiri ambao wanahoji maswali ya msingi sana kwa Mhe. Lissu ili apeleke UJUMBE KWA DUNIA NZIMA NI NINI KINACHOENDELEA TANZANIA KWA SASA!!!

Serlkali imeanza kuwatumia Mabalozi katika nchi ambako Mashirika ya Habari yanapotangaza kumhoji Mhe. Lissu kama ilivyotokea DW- Germany na VOA- Marekani ambajo Dr, Possi na Wilson Masilingi waijaribu kujifaragua lakini hoja zao hazikuweza kuficha au kuondoa AIBU inayokolezwa na Mhe. Lissu. Mtangazaji napouliza ilikuwaje Mhe. Tundu Lissu akashambuliwa kwenye eneo la Bunge na Makazi ya Viongozi wa Bunge na Seriklai panapolindwa masaa 24/7 na mpaka leo hakuna mtu aliyekamatwa hata wa kusingiziwa unategemea Balozi ajibu nini?

Balozi bila woga na sijui kwa ujinga na ulei wa madaraka nasema TUNDU LISSU NA DREVA WAKE wanasubiriwa warudi Tanzania wakahojiwe maana wao ndo wanawajua waliowapiga Risasi...!!Kweli? Hivi ni dunia ya wapi watu wanaweza kukubali UPUUZI HUO wa kukwepa majukumu kwa hoja DHAIFU kama hiyo? Hivi viongozi wetu wa Seriklai ya Awamu hii wamepeleka wapi hafu na woga hata wa kumwogopa Mungu?

Tukio hili la kushambuliwa Mhe. Lissu kama Serikali haiwezi kukaa chini ikalizungumza kwa ukweli, kwa mapana na marefu yake hakika litaitesa sana Serikali hii ya Magufuli. Huwezi uwafanya Watanzania wote ni mambumbumbu. malimbukeni na sasa unataka uvule mipaka uendelee kuihadaa dunia kwamba Serikali inashughulikia tatizo hili tangu mwanzo mpaka sasa. Serikali hiihii imekataa KULIPA GHARAMA ZA MATIBABU YA MHE. LISSU KWA KISINGIZO KWAMBA HAKUFUATA UTARATIBU WA KIBUNGE KUPATA RUFAA YA KWENDA NJE....Huu ni ujinga ambao hakuna mtu atakubaliana nao. Mtu aliyepigwa risasi 38 amepoteza fahamu/hajitambui na mepoteza damu nyingi Serikali inasema mpaka atoke DODOMA apitie MUHIMBILI akapewe rufaa ndipo apewe kibali cha kwenda Kenya au Ubelgiji...Kweli?Kama huo mchakato ungelifuatwa Mhe. Tundu Lissu leo hii angelikuwa ni Marehemu...!!Lakini kwa vile Mungu alikuwa ameona uonevu uliofanyika alimaua kusimama pamoja na Tundu Lissu ili asife na hatimaye akaweze KUSIMULIA UNYAMA HUU!!

Kama hayo hayatoshi kuna hili swala la MSHAHARA NA Gharama za Matibau ya Lissu kutaka kupotoshwa na Bunge CHINI YA uONGOZI WA SPIKA NDUGAI. Dunia nzima na hata Bunge na Serikali wanajua kabisa HAKUNA hata senti 5 iliyotolewa na Bunge la JMT kugahramia matibabu ya Mhe. Lissu zaidi ya MICHANGO YA WABUNGE na MISHAHARA YAKE ANAYOLIPWA KIHALALI AKIWA KATIKA MATIBAU. Hakuna shsria inayosema Mbunge asipokuwepo Bungeni kwa matbabu Mshahara wake uzuiwe. Lakini leo tunasikia Spika anashauriwa na Wabunge wavuta Bangi kama KASHEKU MSUKUMA kuwa Lissu asilipwe Mshahara na Spika anasema hiyo ni ai HOJA YA MSINGI.Kweli? Mbunge mbumbumbu la 7 anaweza kuomba mwongozo wa kipuuzi kama huo kuzuia Mashara wa Mbunge aliyeko kwenye matibabu?

Hvi huyu Mbunge Bangi Msukuma anajua kuwa Mshahara ni haki ya Mtusmishi akiwa anaumwa na yuko Hosiptali kwenye matibabu? Mvuta Bangi huyu anasema Mhe. Lissu anadhuru huko Ulaya na kuitukana Serikali, ana hakika na anachokisema? Hivi anajua mtu pekee anayetakiwa anayetakiwa kutoa Taarifa ya Mgonjwa Hospitali ni Daktari pekee? Kama nikweli Spika Ndugai anataka kusimamisha Mshahara wa Mhe. Liskwanini asiwaandikie Madaktari wa Ubelgiji wakampa hali ya MAENDELEO YA MHE. MBUNGE? Kama hawezi kuwaandikia Madaltari kwanini hajatuma watu hata 2 au 3 kati ya wale walokuwa kwenye KAMATI YA KUCHUNGUZA SHAMBULIO LA MHE. TUNDU LISSU ambayo mpka leo hii zaidi ya Mwaka na miezi 4 HAIJAWAHI KUTOA RIPOTI YAKE!!!Je, hii Kamati nayo inasubiri mpaka Lisu arudi imhoji ndipo itoe ripoti yake? Hapa ndipo lile swali gumu kabisa lilomshinda Balozi Masilingi kulijibu kwamba: Kama Mhe. Tundu Lissu na Dreva wake waneliuawa hiyo Kamati isingeundwa au kutoa ripoti kwa vile wahanga wa tukio walishakufa?

Mwisho, nashauri Serikali,Bunge na Rais wao Magufuli wakae na wakubaliane kwamba swala la Lisu kushambuliwa na mpaka leo hakuna mhusika aliyekamatwa, HAKUNA fEDHA ILIYOLIPWA NA BUNGE KUGHARAMIA MATIBABU ya Mhe. Lissu na Dreva wake nni KAA LA MOTO na mwisho wa siku watakaoungua ni ni walewale wanaolichukuia tukio hili kama POA, Mtu yeyote Mwungwana akiona amezidiwa hoja hukubali kushindwa na KUOMBA RADHI badala ya kuendelea kubishania kitu ambacho kiko wazi na hakihitaji elimu ya kurusha roketi ili kubaini uongo na usanii unaofanywa na Serikali na Bunge kupotosha ukweli huu!!!!
 
Hilo ni suala kubwa kwa watu wasitaarabu Raisi na waziri mkuu wange jiuzuru tuhuma kubwa, ila mAfrica nitoleo lamwisho labinaadamu hatuna aibu wala busara yakujitathimini .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR(iliyokufa)harani. ,
Unaongea pumba tupu. Ukweli utasimama na kuna siku hili jambo litakuja kuwa wazi na hadharani. Serikali ya CCM mnajua kabisa nani amehusika lakini mkachofanya sasa ni kutumia nguvu nyingi KUPOTOSHA maovu yenu. Msifikiri watu wote ni wapuuzi kama nyie. Kulingana na maelezo ya Lissu DUNIA inajua kabisa nani yuko nyuma ya shambulio la Lissu....!!! Badala ya kumlaumu Mhe. Lissu kuwa anaitukN Sirikali na Rais wake na kusema UONGO jisafisheni kwa kuwaleta INTERPOL au Scotland Yard wamelize UBISHI huu wa kichizi wa mafisiCCM.ya Lumumba.
 
Kama nani aombwe radhi?
Sent using Jamii Forums mobile app

Lutandagula ,(naona ni majina ya kulekule yenye kutetea ujinga)!
Majitu mliyokunywa maji ya NZI WA KIJANI hakika akili zenu zinanuka mavi!!Wewe ulitaka aombwe radhi kama nani? Mtu yeyote akimkosea mwenzake heshima na adabu awe ni Rais au mlalahoi wa chini kabisa lazima amwombe radhi mwenzake.

Katika hili shambulio la Mhe. Lissu kutaka kutoa uhai wake na matukio yaliyofuatia hapo ikiwemo KUTOLIPA GHARAMA ZA MATIBABU NAIROBI na BELGIUM, KUTOWATAFUTA NA KUWATIA HATIANI WAHUSIKA,KAMATI YA BUNGE KUZUIWA KUWASILISHA RIPOTI, KUONDOLEWA KWA WALINZI SIKU YA TUKIO, KUONDOLEWA KWA CCTV KAMERA na SASA ZENGWE LA KUZUIA MSHAHARA WAKE hakika ni mambo ambayo hayakupaswa kutokea kwa Lissu ambaye ni MHE.MBUNGE kama alivyo Job Ndugai, Tulia Ackson,Joseph Kasheku(Msukuma mvuta Bangi aliyetaka Bangi ihalalishwe Bungeni na wengineo!!!Lakini pia Mhe.hama Tundu Lissu ni Chief Whip wa Upinzani na wakti anashambuliwa alikuwa ni Rais wa Chama Ca hata moja ya kuha Wanasheria Tanzania(TLS). Kuna mibunge mingi ya CCM haina sifa hata moja kuweza kulinganishwa na Mhe. Lissu.
 
Ushauri wa bure, CCM mfukuzeni uanachama Magufuli ili kurejesha imani ya wananchi kwa chama chetu. Ukimchekea nyani utavuna mabua.
Sio lazima CCM, kwa sheria mpya ya vyama vya siasa hata msajiri wa vyama vya siasa bila kushauriana na mtu anaweza kumfukuza uanachama, na automatically urais. Atabaki na uraia tu!
 
Wakati watu wanasubiri wammalizie...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakika kama kuna Mtz anajidanganya kuwa Mhe.Lissu akirudi watammalizia basi anaota ndoto za mchana kweupe.Let them try..! Kama huyo mtu ana ujasiri huo na aje ajaribu....Bila shaka huyu mtu atakuwa ni kichaa kutoka Mirembe. !!!Kinachotakiwa hapa ni kwamba wale waliotaka kumwua Tundu Lissu na kwa MUUJIZA WA MUNGU AKAENDELEA KUISHI walitakiwa wajiulize mara mbili...Why? Na jibu rahisi ni MKONO WA MUNGU WENYE NGUVU NDIO ULIZUIA KIFO CHA MHE. LISSU. Kama kuna hao vichaa watarudia huo upuuzi nina amini GOD SHALL NEVER SPARE THEIR LIFE FOR THE SECOND CHANCE..Never ever.Kama hawajui NGUVU ZA MUNGU...LET THEM GO AND TRY...Tutawazika kwa hakika!
 
Sala kapatikana kwa juhudi za ndugu, marafiki, na mashabiki
Nyie kila kikicha maneno tu
Kwani hakuna private investigator ambao wangepata majibu zamani kama mngechanga hizo hela leo mnazotaka kumchangia kama mshahara
Kuna watu wanafiki humu wa kiwango cha juu sana ambao hawajui hata wafanye nini
Ingawa mimi huwa sichangii sana mijadala ya lakini hili linakera sana
Poleni sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Yaani umekandamiza mulemule ,Jiwe , Ndugai na serikali Yote wako uchi wa nyama maskini ,walijidai wajanja kutaka kutoa roho ya Lissu ,mungu kakataa sasa hadaa na wanayoyafanya haisaidii kitu ,yaani ccm ya akina Ndugai na msukuma kutoka Lumumba university na jingalao university ,bila kusahau Isis university hizi hoja zenu za ajabu unafikiri dunia itawaelewa ,danganyeni mazuzu wenzenu wa Lumumba akina stroke university na magonjwa mtambuka university .
 
Yaani umekandamiza mulemule ,Jiwe , Ndugai na serikali Yote wako uchi wa nyama maskini ,walijidai wajanja kutoka kutoa roho Lissu ,mungu kakataa sasa hadaa na wanaoufanya hausaidii kitu ,yaani ccm ya akina Ndugai na msukuma kutoka Lumumba university na jingalao university ,bila kusahau Isis university hizi hoja zenu za ajabu unafikiri dunia itawaelewa ,danganyeni mazuzu wenzenu wa Lumumba .

Chief Kabikula,
Umeweka summary nzuri sana. Kama Mungu angeliweza kumfufua Baba wa Taifa akute haya yanayofanywa na hii CCM ya Magufuli nina hakika Nyerere angeliwaunganisha Ndugai na Magufuli WOTE MAJI GA NYAZA...!!!
 
uzi mreeefu takataka tupu.chadema mmpige risasi serkal imuombe radhi.hivi mbowe kule jera anatubu na ile itkafu uliyosoma imewarudia
Aibu...huna hata haya. Chadema ndio wenye polisi ya kufanya uchunguzi. Vyombo vyetu vya dola vimetuangusha kwenye hili, ni muda mmrefu sana umepita bila majibu na hii si ishara njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio la Mhe. Tundu Lissu kupigwa risasi zaidi ya 38 na kuponea tundu la sindano zaidi ya mwaka 1 uliopita linaendelea kuitesa, kuidhalilisha na kuimbua Seikali ya Awamu ya 5.
Baada ya Mhe. Lissu kupatiwa matibabu Nairobi, Kenya kwa miezi 4 na kupata nafuu kubwa hatimaye kuhamishiwa nchini Ubelgiji ambako bado yuko kwenye hatua za mwisho za matibabu yake, afya yake imeimarika vya kutosha.

Kitendo cha Mhe.Lissu kupata nafuu na kuruhusiwa kuanza kutembelea baadhi ya Mashirika ya Habari huko nchi za nje ili KUELEZEA UKWELI WA KILE KILICHOMTOKEA kimeishtua Serikali ya Rais Magufuli na imeanza kuweweseka na kulalamika kuwa ati Mhe. Lissu anazurura zurura kuichafua Serikali, Rais na Bunge kwa kusema UONGO! Hiki ni kichekesho cha kufungulia mwaka 2019. Hivi kosa la Mhe. Lissu ni ni hasa? Kuhojiwa na Mashirika ya Habari ili aelezeee kile kilichomtokea baada ya KUSHAMBULIWA KWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA AMBAO HADI LEO BADO HAWAJAKAMATWA..!!

Ukweli wa anachokileza Tundu Lissu huko nchi za Ugenini kinatosha kabisa kuonesha hii Tanzania kwa sasa ina UTAWALA WA AINA GANI. Tukio au matukio kama haya hayakuwahi kutokea kwenye awamu zote zilizopita ukianzia kwa Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(RIP).
Kinachosikitisha ni kwamba badala ya Serikali, Bunge na Rais Magufuli kuchutama ili kuficha aibu yao wao wameanza kukurupuka na kutimua mbio huko na kule ilhali DUNIA yote inawaona walivyo utupu na uchi wa nyama, Kuna watangazaji mahiri ambao wanahoji maswali ya msingi sana kwa Mhe. Lissu ili apeleke UJUMBE KWA DUNIA NZIMA NI NINI KINACHOENDELEA TANZANIA KWA SASA!!!

Serlkali imeanza kuwatumia Mabalozi katika nchi ambako Mashirika ya Habari yanapotangaza kumhoji Mhe. Lissu kama ilivyotokea DW- Germany na VOA- Marekani ambajo Dr, Possi na Wilson Masilingi waijaribu kujifaragua lakini hoja zao hazikuweza kuficha au kuondoa AIBU inayokolezwa na Mhe. Lissu. Mtangazaji napouliza ilikuwaje Mhe. Tundu Lissu akashambuliwa kwenye eneo la Bunge na Makazi ya Viongozi wa Bunge na Seriklai panapolindwa masaa 24/7 na mpaka leo hakuna mtu aliyekamatwa hata wa kusingiziwa unategemea Balozi ajibu nini?

Balozi bila woga na sijui kwa ujinga na ulei wa madaraka nasema TUNDU LISSU NA DREVA WAKE wanasubiriwa warudi Tanzania wakahojiwe maana wao ndo wanawajua waliowapiga Risasi...!!Kweli? Hivi ni dunia ya wapi watu wanaweza kukubali UPUUZI HUO wa kukwepa majukumu kwa hoja DHAIFU kama hiyo? Hivi viongozi wetu wa Seriklai ya Awamu hii wamepeleka wapi hafu na woga hata wa kumwogopa Mungu?

Tukio hili la kushambuliwa Mhe. Lissu kama Serikali haiwezi kukaa chini ikalizungumza kwa ukweli, kwa mapana na marefu yake hakika litaitesa sana Serikali hii ya Magufuli. Huwezi uwafanya Watanzania wote ni mambumbumbu. malimbukeni na sasa unataka uvule mipaka uendelee kuihadaa dunia kwamba Serikali inashughulikia tatizo hili tangu mwanzo mpaka sasa. Serikali hiihii imekataa KULIPA GHARAMA ZA MATIBABU YA MHE. LISSU KWA KISINGIZO KWAMBA HAKUFUATA UTARATIBU WA KIBUNGE KUPATA RUFAA YA KWENDA NJE....Huu ni ujinga ambao hakuna mtu atakubaliana nao. Mtu aliyepigwa risasi 38 amepoteza fahamu/hajitambui na mepoteza damu nyingi Serikali inasema mpaka atoke DODOMA apitie MUHIMBILI akapewe rufaa ndipo apewe kibali cha kwenda Kenya au Ubelgiji...Kweli?Kama huo mchakato ungelifuatwa Mhe. Tundu Lissu leo hii angelikuwa ni Marehemu...!!Lakini kwa vile Mungu alikuwa ameona uonevu uliofanyika alimaua kusimama pamoja na Tundu Lissu ili asife na hatimaye akaweze KUSIMULIA UNYAMA HUU!!

Kama hayo hayatoshi kuna hili swala la MSHAHARA NA Gharama za Matibau ya Lissu kutaka kupotoshwa na Bunge CHINI YA uONGOZI WA SPIKA NDUGAI. Dunia nzima na hata Bunge na Serikali wanajua kabisa HAKUNA hata senti 5 iliyotolewa na Bunge la JMT kugahramia matibabu ya Mhe. Lissu zaidi ya MICHANGO YA WABUNGE na MISHAHARA YAKE ANAYOLIPWA KIHALALI AKIWA KATIKA MATIBAU. Hakuna shsria inayosema Mbunge asipokuwepo Bungeni kwa matbabu Mshahara wake uzuiwe. Lakini leo tunasikia Spika anashauriwa na Wabunge wavuta Bangi kama KASHEKU MSUKUMA kuwa Lissu asilipwe Mshahara na Spika anasema hiyo ni ai HOJA YA MSINGI.Kweli? Mbunge mbumbumbu la 7 anaweza kuomba mwongozo wa kipuuzi kama huo kuzuia Mashara wa Mbunge aliyeko kwenye matibabu?

Hvi huyu Mbunge Bangi Msukuma anajua kuwa Mshahara ni haki ya Mtusmishi akiwa anaumwa na yuko Hosiptali kwenye matibabu? Mvuta Bangi huyu anasema Mhe. Lissu anadhuru huko Ulaya na kuitukana Serikali, ana hakika na anachokisema? Hivi anajua mtu pekee anayetakiwa anayetakiwa kutoa Taarifa ya Mgonjwa Hospitali ni Daktari pekee? Kama nikweli Spika Ndugai anataka kusimamisha Mshahara wa Mhe. Liskwanini asiwaandikie Madaktari wa Ubelgiji wakampa hali ya MAENDELEO YA MHE. MBUNGE? Kama hawezi kuwaandikia Madaltari kwanini hajatuma watu hata 2 au 3 kati ya wale walokuwa kwenye KAMATI YA KUCHUNGUZA SHAMBULIO LA MHE. TUNDU LISSU ambayo mpka leo hii zaidi ya Mwaka na miezi 4 HAIJAWAHI KUTOA RIPOTI YAKE!!!Je, hii Kamati nayo inasubiri mpaka Lisu arudi imhoji ndipo itoe ripoti yake? Hapa ndipo lile swali gumu kabisa lilomshinda Balozi Masilingi kulijibu kwamba: Kama Mhe. Tundu Lissu na Dreva wake waneliuawa hiyo Kamati isingeundwa au kutoa ripoti kwa vile wahanga wa tukio walishakufa?

Mwisho, nashauri Serikali,Bunge na Rais wao Magufuli wakae na wakubaliane kwamba swala la Lisu kushambuliwa na mpaka leo hakuna mhusika aliyekamatwa, HAKUNA fEDHA ILIYOLIPWA NA BUNGE KUGHARAMIA MATIBABU ya Mhe. Lissu na Dreva wake nni KAA LA MOTO na mwisho wa siku watakaoungua ni ni walewale wanaolichukuia tukio hili kama POA, Mtu yeyote Mwungwana akiona amezidiwa hoja hukubali kushindwa na KUOMBA RADHI badala ya kuendelea kubishania kitu ambacho kiko wazi na hakihitaji elimu ya kurusha roketi ili kubaini uongo na usanii unaofanywa na Serikali na Bunge kupotosha ukweli huu!!!!
Huo ndio uzalendo!
Hongera kwa kulifafanua jambo hili kwa lugha nzuri na rahisi.
Nategemea wahusika wataacha kujibizana na Mh. TL badala yake wakubali yaishe.
 
Wakti wa kipindi cha Straight Talk Africa kikiwa hewani, Mtangazaji Nguli wa VOA Mr. Shaka Ssali alikumbushia enzi za Mwalimu alipoweka sera ya Watanzania wote kuitana NDUGU. Shaka alitaka kupeleka message kwa Watanzania kwamba inakuwaje leo NDUGU WA DAMU MOJA WANATWANGANA RISASI KWA CHUKI ZA KISIASA?Niliweza kusoma BODY LANGUAGE YA BALOZI WILSON MASILINGI kwa namna alivokuwa akifoka na kumshtumu Lissu ati anamchafua Rais Magufuli bila ya kujibu nguvu ya hoja iliyokuwa ikiwasilishwa na Mhe. Tundu Lissu.....hakika ilikuwa aibu kwa Serikali ya Magufuli na kudhalilika pakubwa kwa tukio hilo.....!!!!!
 
Katika wapumbavu wewe ni nambari one! Huyo private investigator atafanya kazi katika mazingira gani?!

Toa mfano wa case yo yote nchini ambayo private investigator ametumika!
Do you have to use harsh words on me
Calling an idiot
Kwa sababu tu ya kutoa maoni yangu unanitukana
Nisamehe kama lissu ni mme wako najua imekuchoma sana

Muwe mnajitambulisha sasa
Laiti ningejua ni mama watoto nisingeandika sorry

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom