Serikali, Bunge, Ndugai na Rais Magufuli mwombeni radhi Mhe. Lissu na Watanzania

Nisogelee uone jinsi nitakavyokupakua uchafu huko mkunduni!
Hahahahahahaha tatizo ndio hilo
Umekosa hoja maskini
Kwa hiyo umeona umetukana sana hapo

Haya mtumie msg mume wako

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Katika wapumbavu wewe ni nambari one! Huyo private investigator atafanya kazi katika mazingira gani?!

Toa mfano wa case yo yote nchini ambayo private investigator ametumika!

Usishangae ndugu,
Hizo ni akili za kifisi kutoka Lumumba na Magogoni. Huyu bwege anaposema Private Investigator ana maanisha nini? Magufuli na Serikali yake wamekataa katakata ushauri wa CHADEMA wa kuleta Interpol,Scotland Yard Police,CIA,KGB au Mossad....!!! Magufuli.CCM.Bunge na Serikali yake wanajua wazi kabisa the moment wakiruhusu taasisi hizo za nchi zingine kufanya Uchunguzi hakika WATAUMBUKA mapema na asubuhi!!!.Huo ni ukweli mchungu ambao hawataki ufahamike!!!Kama wanabisha wajifanye kama WANAJIKUNA...!!!
 
Usishangae ndugu,
Hizo ni akili za kifisi kutoka Lumumba na Magogoni. Huyu bwege anaposema Private Investigator ana maanisha nini? Magufuli na Serikali yake wamekataa katakata ushauri wa CHADEMA wa kuleta Interpol,Scotland Yard Police,CIA,KGB au Mossad....!!! Magufuli.CCM.Bunge na Serikali yake wanajua wazi kabisa the moment wakiruhusu taasisi hizo za nchi zingine kufanya Uchunguzi hakika WATAUMBUKA...Huo ni uklweli mchungu hawataki ufahamike!!!
Tatizo lenu wote mnapanick badala ya kuchangia hoja kwa weledi
Huu ni mtandao wa kimataifa na tumo wengi ambao tuko mbali mpaka Afghanistan
Sasa kuchangia mada kama imekuwa UBWEGE ina maana tusitie neno?
Mimi sio mwanasiasa na sijawahi kupiga kura huko maisha yangu
Bila jazba ungeelewesha ueleweke
Au ndio tabia zenu hizi kutukana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Yaani umekandamiza mulemule ,Jiwe , Ndugai na serikali Yote wako uchi wa nyama maskini ,walijidai wajanja kutaka kutoa roho ya Lissu ,mungu kakataa sasa hadaa na wanayoyafanya haisaidii kitu ,yaani ccm ya akina Ndugai na msukuma kutoka Lumumba university na jingalao university ,bila kusahau Isis university hizi hoja zenu za ajabu unafikiri dunia itawaelewa ,danganyeni mazuzu wenzenu wa Lumumba akina stroke university na magonjwa mtambuka university .
Sasa hivi baada ya mkuu wa malaika na vibaraka wake kushindwa kwa hoja na kuingiza nchi kwenye umasikini wanalazimika kutumia njia mbadala ya mauaji ili kuziba watu wasiongee,hii mbinu sidhani kama itafanikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu wote mnapanick badala ya kuchangia hoja kwa weledi
Huu ni mtandao wa kimataifa na tumo wengi ambao tuko mbali mpaka Afghanistan
Sasa kuchangia mada kama imekuwa UBWEGE ina maana tusitie neno?
Mimi sio mwanasiasa na sijawahi kupiga kura huko maisha yangu
Bila jazba ungeelewesha ueleweke
Au ndio tabia zenu hizi kutukana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Kumbe wewe ni mkimbizi?Kama si mkimbizi unafanya nini huko Afghanistan bro?Inaelekea habari za hapa Bongo unazielewa juujuu sana hata tukio la Mhe. Lissu alivomiminiwa risasi 38 huku 16 zikimwingia mwilini umezisikia kwenye umbeya wa ghahawa!!
 
Kumbe wewe ni mkimbizi?Kama si mkimbizi unafanya nini huko Afghanistan bro?Inaelekea habari za hapa Bongo unazielewa juujuu sana hata tukio la Mhe. Lissu alivomiminiwa risasi 38 huku 16 zikimwingia mwilini umezisikia kwenye umbeya wa ghahawa!!
Jf sio umbea wa kahawa, na habari zinasomwa kila mahali
Na humu sio wote walioko nje ni wakimbizi
Hilo ndio tatizo la kutokuwa na uelewewa maana unaweza kuwa na elimu ya kusoma halafu mambo logic ukashindwa kuyaelewa.
Kuna watz wangapi nje ya nchi? Je ni wakimbizi?
Kama mwisho wa kufikiri kwako umefika hapo pole sana
I feel sorry for him kwa kupigwa risasi zote hizo lakini pia hainizuii kuchangia mada kama hii
Na kama imekukera sana niwie radhi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Jf sio umbea wa kahawa, na habari zinasomwa kila mahali
Na humu sio wote walioko nje ni wakimbizi
Hilo ndio tatizo la kutokuwa na uelewewa maana unaweza kuwa na elimu ya kusoma halafu mambo logic ukashindwa kuyaelewa.
Kuna watz wangapi nje ya nchi? Je ni wakimbizi?
Kama mwisho wa kufikiri kwako umefika hapo pole sana
I feel sorry for him kwa kupigwa risasi zote hizo lakini pia hainizuii kuchangia mada kama hii
Na kama imekukera sana niwie radhi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Pole sana mkimbizi...!
Watanzania wazalendo wote wako Tanzania wakipigania maisha yao.Unakumbuka habari ya Watz walokuwa wakizamia meli kwenda ughaibuni kutafuta maisha baada ya kuona maisha hapa Bongo yanawapiga?Kama ni mkweli unaweza kuwaambia Watz unafanya nini ughaibuni na umesama wewe si mwanasiasa na hujawahi kupiga hata kura kuchagua Rais wala Mbunge!!!Ni vizuri ukatuacha wazawa wenye uchungu tunaopiga kura kuchagua viongozi wetu tunao wapenda akiwemo Mhe. Lissu. Je. pilipili usizozila zakuwashiani ewe Muafughastan?
 
uzi mreeefu takataka tupu.chadema mmpige risasi serkal imuombe radhi.hivi mbowe kule jera anatubu na ile itkafu uliyosoma imewarudia
Si wakamatwe hao waliompiga risasi kama ni Chadema tuwajue na haki itendeke.
 
Sijawahi kumuonawbinadamu jeuri na kiburi kama jiwe
Sky Eclat,
Kwa tabia hizi za Jiwe very likely huyu mtu ana LAANA JUU yake!
Inaweza kuwa ya mmoja wa wazazi wake,Babu au bibi yake.Lakini pia laana iliyo kuu kabisa toka kwa Mungu Baba. Biblia inasema MUNGU NI UPENDO.Ukiwa una hofu ya Mungu na huwa unasali kanisani au msikitini utawapenda WATU WOTE IKIWEMO NA MAADUI ZAKO. Hiki kitu hakuna ndani ya Jiwe....!
 
Huo ndio uzalendo!
Hongera kwa kulifafanua jambo hili kwa lugha nzuri na rahisi.
Nategemea wahusika wataacha kujibizana na Mh. TL badala yake wakubali yaishe.

Nina amini Rais Magufuli na Wasaidizi wake wa karibu wanasoma mitandaoni na wamemsikiliza Mhe. Lissu kwenye Media za Kimataifa anavyo wasilisha Hoja zake zinazoacha pasipo shaka kwamba JARIBIO LA KUTAKA KUMWUA LISSU lina mkono wa WATU WAKUBWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI YA CCM...Sikiliza hoja za Mhe. Lissu akiongea na WATANZANIA WANAOISHI MAREKANI! Fuatilia uone anachoongea Lissu na jinsi audience inavyompigia Makofi kuonesha kuwa anachoongea siyo ubabaishaji but mere FACTS ambazo kwa hakika Serikali ya Magufuli inabakia uchi wa nyama!!!:


 
Back
Top Bottom