TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,912
- 23,073
Lakini wanasema unalipia kwenye simu. Umajaribu hiyo!?Mimi nimekatia kwenye vibandani umiza vilivyowekwa barabarani kama wakala. Hivyo nilitafuta site ya kukatia ticket ikazingua ndipo nilienda kukutana Na maafa, wakala wanatoa ticit zilizokatazwa