Serikali bila kufungua viosk vya kukatia tiketi hili la electronic ticket hamtoweza, wajanja wa mabasi ndio tegemeo lao kukwepa kodi

Mimi nimekatia kwenye vibandani umiza vilivyowekwa barabarani kama wakala. Hivyo nilitafuta site ya kukatia ticket ikazingua ndipo nilienda kukutana Na maafa, wakala wanatoa ticit zilizokatazwa
Lakini wanasema unalipia kwenye simu. Umajaribu hiyo!?
 
Back
Top Bottom