Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

Na yale mawese ya kigoma, alizeti ya singida, ufuta wa morogoro

Yaan Vyote hivyo vimepanda Kwenye soko la Dunia?

Au sikU hizi soko la Dunia limehamia kigoma, singida na morogoro?
Kwani kuna kiwanda cha kuyachakata hayo? Na mbegu wanazotumia ni zinazotumiwa duniani?
 
Mpango mkakati wa kuzalisha bidhaa zetu ndo unaanza kufia hapa, hii ni sehemu ya maandalizi ya kuwatumia wafanyabiashara kuagiza bidhaa nje ili dili zipigwe,
Hapa nchini wakulima wanaangaika masoko hakuna, mpaka tusikilize bei ya soko la dunia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom