Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
20,205
2,000
Watanzania hatujui kutumia fursa. Ningekuwa Rais ningeamuru Chemical na Process engineers pamoja na wakulima wa nafaka zinazotoa mafuta ndani ya mwaka mmoja tuwe tumejitosheleza kwa mafuta ya kula. Mbona jeshini huwa inawezekana? Unapewa muda fulani wa kuvuka mto ili hali hakuna daraja na unavuka!!!!!
Nilitaka kusema umeniwahi!
Tutengeze soko letu!
Kwa uhaba huo ni fursa nzuri tu....
 

itwaaky

JF-Expert Member
May 21, 2021
201
225
Na yale mawese ya kigoma, alizeti ya singida, ufuta wa morogoro

Yaan Vyote hivyo vimepanda Kwenye soko la Dunia?

Au sikU hizi soko la Dunia limehamia kigoma, singida na morogoro?
Kwani kuna kiwanda cha kuyachakata hayo? Na mbegu wanazotumia ni zinazotumiwa duniani?
 
Apr 9, 2021
43
95
Mpango mkakati wa kuzalisha bidhaa zetu ndo unaanza kufia hapa, hii ni sehemu ya maandalizi ya kuwatumia wafanyabiashara kuagiza bidhaa nje ili dili zipigwe,
Hapa nchini wakulima wanaangaika masoko hakuna, mpaka tusikilize bei ya soko la dunia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom