Serikali badala ya kuangalia jinsi ya kukuza uchumi iko bize mitandaoni!

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
2,000
Ni serikali ya ajabu kuwahi kutoka dunia! serikali ya majungu, mihemko, visasi, majigambo, uvivu, unafiki, wivu, uchoyo, umaskini, ubabe, ujinga, fitina, Fujo na ukorofi.

Hivi tangu lini Raisi badala ya kupigana na uchumi mbovu, kupambana na janga LA umasiki kusini watu wanakufa nja, badala ya kupambana na elimu mbovu, badala ya kuja na strategic plans za maendeleo uko busy kutafuta nani ananikosoa kwenye mitandao ya kijamii!

Hii ni aibu na uchanga Wa hali ya juu, ama kweli Tanzania tumelamba garasa. Kama kuna mtu anavuta subira za maendeleo kwa hali hii nampa pole.

Ifikapo 2020 na ishiri hali mama Tanzania itakua hoi pamoja na kwamba 2018 watajitahidi kuboresha boresha mambo ili kumlaghai mtanzania lakini haitasaidia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom