Serikali, Baada ya kuwafukuza UDOM vijana wetu, haya ndiyo wanayokumbana nayo Vyuoni

kwahiyo unaamua lipi mkuu. naona malalamiko mengi sana. hebu weka picha ya simu yako unayotumia tuone kama kweli hali ni mbaya.. wanaume wa dar bwana
Kaka Mimi ni medical student ktk chuo fulani.Ila haiondoi ukweli kuwa magumu yanawapata ndugu na wadogo zetu.
 
Hizi tends kuna watu wanazililia sana mtaani. Mkitoka chuo mtazikumbuka hizi, nyie endeleeni kulialia yaani mnapata fursa mnaanza kulia. Hata wakifika JKT watalia na kuwapigia simu mama zao kwamba wanateswa!......muda tu ndio jibu la kweli
Ila hali kama hiyo unaona ni sahihi??
Kwahiyo unahisi kinachofanywa ni sahihi??

Unapofanya kitu kwa kuandaliwa haina taabu,na kuhusianisha na JKT sidhani km ni sahihi!
 
Hatunywi sumu, hatujinyongi,
Ccm mbele kwa mbele*2

Tumeipenda wenyewe
Chaguo letu milele
Na wavimbe wapasuke

Nami mdogo wangu form six EGM badala ya kwenda dip, amechaguliwa cert. Imebidi aende tu, atasolve baadae hakuna namna
Certificate ya nn
 
Huu uzi nimeusoma mara 3 kabla ya kutoa comment. Nimesoma mara ya kwanza nikawa kama vile sijaelewa kitu. Nimesoma mara ya pili nikawa kama vile sihamini ninachokisoma. Nimeusoma mara ya tatu nikaishiwa kupata hasira na viganja kuanza kutetemeka. Kwa sababu nimejaa na jaziba ngoja kwanza nitulia nitarudi kutoa dukuduku langu baadaye.
Waulize walio vyuoni ndugu usije kudhania nadanganya
 
Naombeni mie iyo nafasi ya kusahihisha iyo mitihani
Kwangu hakuna mtihani nitakaosahihisha nikaweka kosa
 
Back
Top Bottom