Serikali baada ya kuona miradi ya maendeleo haitekelezeki sasa imeamua kuwekeza kwenye uongo.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kwa nini serikali imeamua kuwekeza kwenye uongo na propaganda balada ya kusema ukweli, jibu ni moja tu, serikali inajua ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania hivyo hata wakisema uongo hakuna wa kuwahoji na watakaohoji wataitwa mawakala wa mabeberu.

Kuna siku nilimsikia waziri Jafo akisema hadi sasa viwanda 4500 vimejengwa na vimeajiri takribani watu 36,000. Kwa wastani kila kiwanda kimeajiri watu 8. Hao watu 8 ni mlinzi 1, mfanya usafi 1, mapokezi 1, sekretari 1, mwenye kiwanda 1, dereva 1, opareta wa mashine 1 na labda fundi umeme 1. Alafu unakuta wote hawalipi kodi maana wanalipwa mshahara wa kima cha chini ambao haukatwi kodi. Unajiuliza hivyo vi viwanda tunavyovijua au kuna aina mpya ya viwanda awamu hii ya wanyonge?

Juzi kule Mtwara ndio nimesikia vituko, kua toka uhuru kuna hospitali 70, ila serikali ya sasa imejenga hospitali mpya 67 kwa miaka 3. Unajiuliza hizo hospitali zimejengwa wapi? Kwa bajeti ipi? Maana kwa miaka yote 3 utekelezaji wa bajeti ya maendeleo haufiki hata 35% na nyingi ya hizo 35% imeenda kwenye SGR, ATCL na sasa Stigliers Gorge. MSD tu wanaidai serikali Bilioni 200, za kujenga hospitali wamezitoa wapi kama za kulipa madawa tu hakuna. Mathalani, kama hakuna ajira ya madaktari kwa miaka 5, hizo hospitali zinatumia maroboti kutibu? Maana yake kama tumejenga hospitali mpya 67 ina maana kulitakiwa kuwe na ajira kubwa ya watumishi wa hospitali idadi sawa na madaktari, wauguzi, manesi, wataalam wa maabara nk waliopo sasa. Maana tumedouble hospitali lazima kuwe na double wahudumu wa hospitali(waliopo tu wenyewe hawatoshi). Maana kujenga hospitali maana yake umeweka kila kitu, miundombinu yote ya hospitali, unajiuliza kama hospitali zilizopo 70% hazina xray machine, hizo zilizojengwa zimepata wapi vifaa? Hospitali yetu ya mkuranga hapa jirani na mjini haina xray miaka na miaka, unajiuliza hizo nyingine vifaa zimetoa wapi? Namba zinakataa na unajua kabisa sasa serikali imewekeza kwenye uongo. Kudanganya watu.

Serikali iache kudanganya watu, itekeleze miradi inayoonekana na iache kutunga story na kuhadaa watu.

Hii mada inaendelea.
 
Kwa nini serikali imeamua kuwekeza kwenye uongo na propaganda balada ya kusema ukweli, jibu ni moja tu, serikali inajua ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania hivyo hata wakisema uongo hakuna wa kuwahoji na watakaohoji wataitwa mawakala wa mabeberu.

Kuna siku nilimsikia waziri Jafo akisema hadi sasa viwanda 4500 vimejengwa na vimeajiri takribani watu 36,000. Kwa wastani kila kiwanda kimeajiri watu 8. Hao watu 8 ni mlinzi 1, mfanya usafi 1, mapokezi 1, sekretari 1, mwenye kiwanda 1, dereva 1, opareta wa mashine 1 na labda fundi umeme 1. Alafu unakuta wote hawalipi kodi maana wanalipwa mshahara wa kima cha chini ambao haukatwi kodi. Unajiuliza hivyo vi viwanda tunavyovijua au kuna aina mpya ya viwanda awamu hii ya wanyonge?

Juzi kule Mtwara ndio nimesikia vituko, kua toka uhuru kuna hospitali 70, ila serikali ya sasa imejenga hospitali mpya 67 kwa miaka 3. Unajiuliza hizo hospitali zimejengwa wapi? Kwa bajeti ipi? Maana kwa miaka yote 3 utekelezaji wa bajeti ya maendeleo haufiki hata 35% na nyingi ya hizo 35% imeenda kwenye SGR, ATCL na sasa Stigliers Gorge. MSD tu wanaidai serikali Bilioni 200, za kujenga hospitali wamezitoa wapi kama za kulipa madawa tu hakuna. Mathalani, kama hakuna ajira ya madaktari kwa miaka 5, hizo hospitali zinatumia maroboti kutibu? Maana yake kama tumejenga hospitali mpya 67 ina maana kulitakiwa kuwe na ajira kubwa ya watumishi wa hospitali idadi sawa na madaktari, wauguzi, manesi, wataalam wa maabara nk waliopo sasa. Maana tumedouble hospitali lazima kuwe na double wahudumu wa hospitali(waliopo tu wenyewe hawatoshi). Namba zinakataa na unajua kabisa sasa serikali imewekeza kwenye uongo. Kudanganya watu.

Kama unakumbuka zile data za idadi ya samaki wa bahsrini,maziwa na mitoni then hii ni part two
 
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo,si kosa lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la wajinga na matakataka kila kitu kwao sawa

Mungu akubariki mleta mada. Mimi binafsi sio mwanasiasa ila sikubaliani kabisa na huu uovu na uongo unaoendeshwa na serikali ya Magufuli.
Mwisho wa ubaya itakuwa ni aibu kubwa kwa Magufuli na wapambe wake.
Sasa hivi Magufuli amekuwa ni BABA WA UONGO KWA KUSINGIZIA WATENDAJI WAKE WA CHINI. AMEMALIZA WAPINZANI SASA AMERUDI KWA WATENDAJI WAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom