Serikali ajirini Walimu wa masomo yote, walimu wa Arts wanaelemewa

Walipelekwa primary baada ya uhakiki mwaka 2017na tangu hapo hawajaajirwa tena,sasa piga hesabu ndogo tu tangu 2017 hadi leo waliobaki wapo tu? Au hata kama wapo si kila siku mnasikia wanafunzi wanaongezeka kutokana na elimu bure? Wewe unaweza kusahisha daftari 600 peke yako kila siku? Au tujuzane hilo bata wenzetu mnakula mkiwa wapi?

@Moisemufajiografii nisamehe mkuu jina lako limejibandika kwny kiandikio changu na limegoma kutoka
Kusema serikali haijaajiri kabisa walimu wa sanaa tangu 2017 ni uongo. Labda shule uliopo ndio hawajawahi letwa walimu wa sanaa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom