#COVID19 Serikali: 34% ya Watanzania walengwa wa awamu ya kwanza wamepata chanjo ya UVIKO-19, sasa tunapeleka chanjo Vijijini

Yaani CCM na Chadema na wafanyakazi wa serikali wamegoma kuwaunga viongozi wao.Yaani hata CCM hawamwamini rais wao.
 
Yaani CCM na Chadema na wafanyakazi wa serikali wamegoma kuwaunga viongozi wao.Yaani hata CCM hawamwamini rais wao.
😂😂😂 Ni jambo la kushangaza kwa kweli.

CCM wanasema wana wanachama 12m, nilitegemea sasa watu zaidi ya 6m CCM pekee wameshachanjwa kumuunga mkono rais wao. Ajabu hata wao hawamuamini rais wao.
 
😂😂😂 Ni jambo la kushangaza kwa kweli.

Ccm wanasema wana wanachama 12m, nilitegemea sasa watu zaidi ya 6m wa ccm pekee wameshachanjwa kumuunga mkono rais wao. Ajabu hata wao hawamuamini rais wao.
Kwa ufupi ni kwamba Samia keshakataliwa ndani ya CCM. Wanasubiri muda wa kikatiba wamfurushe
 
Mmh huku vijijin ndo watarudi na chanjo zao yaani n hawataki chanjo ,hata hzo mask na kunawa nawa hamna kabisa huku. Yaan maisha yanaendelea tu sku zote n sawa huku
Wanataka kusababisha fursa za viongozi kulipana posho za usimamiaji wa wiki ya chanjo
 
Huu sasa ndio utoto tusiotaka kuusikia kwa Tanzania ya sasa.

Mi nahisi haya maigizo serikali haiwaigizii wananchi bali wale akina Tedros Ghebreyesus wa WHO na mwenzake wa kile kinachoitwa Afrika CDC John Nkengasong.

Maana kama kweli wapo serious na hawaigizi, unawezaje kujitapa kwamba umechanja watu 345,000 katika nchi ya watu milion 60?

Marekani wamechanja asilimia karibia 100 ya wote waliostahili kuchanjwa kama kipaumbele, takribani asilimia 60 ya raia wote wa Marekani. Nimecheki namba za vifo vya corona Marekani ni kama vile wote hawajachanja.

Guess what? Kirusi cha Corona hakijali umechanja wala hujachanja, au kwamba wewe mjanja wa New York au mshamba wa Nagarenaro.

Magufuli was right all along....Hii ngoma ya Corona ni Mungu tu aingilie kati yaani.

Tusidanganyane na mambo ya chanjo hapa.
 
Vijijini wanazihitaji sana sema vituo vya kuchanja viko mbali.
Janssen inatakiwa kutunzwa kwenye joto la 2c-6c.

Sasa huko vijijini kuna majokofu na umeme wa uhakika ??

Batch ya chanjo ikiyopo ina-expire December.

Wao waache tu, atakayechanja atachanja. Atakaye acha aache.

Atakayeugua na kupona sawa, atayakufa ni sawa. Hata vifo ni biashara za watu.

Muhimu chanjo zimeletwa na hivyo wale waliokuwa wanazitaka hawana sababu tena ya kwenda kuzitafuta nje ya nchi.
 
Kijijini ndo wannenda kuangukia pua, ogopa sana sehemu kuona barakoa ni mpaka ije basi iliyotoka mjini kuna abiria mmoja au hakuna kabisa aliyevaa barako huku wanamshangaa
 
Kijijini ndo wannenda kuangukia pua, ogopa sana sehemu kuona barakoa ni mpaka ije basi iliyotoka mjini kuna abiria mmoja au hakuna kabisa aliyevaa barako huku wanamshangaa
Kuna mwananchi mmoja hapa kijijini alikuja kuomba kwangu nimuazime barakoa yangu ili aingie hospitali ya jirani hapa maana hospitali hawaruhusu kuingia bila barakoa
 
Back
Top Bottom