serikai inashida gani na magari ya wakili Mwale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikai inashida gani na magari ya wakili Mwale

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, Jun 21, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahakama ya hakimu mkazi Arusha ilitoa amri ya kurejeshewa magari saba ya kifahari ya wakili maarufu nchini,Median Mwale, lakini serikali kupitia wakili wake Fredrick Manyanda na Neema Ringo wamekataa kukabidhiwa magari hayo,wanaajenda gani ya siri.kwanini wanaingilia uhuru wa mahakama ?
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  wacha uchunguzi ufanyike..... tumechoka na majambazi yanayotumaliza kwa mgongo wa uanasheria
   
Loading...