Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,783
- 28,800
Queen of south naona ndo imefika tamati, ila imeisha vizuri sana
Who Killed Sara?Yeah! Mzee ahsante
Mama yao na wale jamaa kupitia kwa yule jamaa aliyemuadopt akiwa mtotoWho Killed Sara?
Umeiangalia na ya pili mzee?Mama yao na wale jamaa kupitia kwa yule jamaa aliyemuadopt akiwa mtoto
Daah kuna yule jamaa muda wote analilia dudu za wanaume wenzakeWho Killed Sara?
Fala sana yule jamaa,kifupi anazingua yeye pamoja na yule bwana wake lawyerDaah kuna yule jamaa muda wote analilia dudu za wanaume wenzake
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ya pili bado naweka kiporo kuna series flani ya Elite season 1 nilidownload mda sana pamoja na Godfather of Harlem season 1Umeiangalia na ya pili mzee?
Ubaya wa series za Netflix ndio ubaya sasa iyo Elite ina story nzuri aisee hadi mambo ya ukimwi ambayo ni nadra kuyaona kwenye series za Euro ila scenes za mapunga ni nyingi kuliko who killed Sara wakianza kushikanaFala sana yule jamaa,kifupi anazingua yeye pamoja na yule bwana wake lawyer
Ok nilidhani umeitizama na ya pili pia,huyu bi mkubwa na yule mshikaji Eloy,hawahusiki kabsa kwenye kifo cha Sara,kuna mshikaj mwingine anatokea tena...Ya pili bado naweka kiporo kuna series flani ya Elite season 1 nilidownload mda sana pamoja na Godfather of Harlem season 1
Elite sijawahi itazama japo naona inapewa sifa nyingi sana kuwa ni nzuri...Ubaya wa series za Netflix ndio ubaya sasa iyo Elite ina story nzuri aisee hadi mambo ya ukimwi ambayo ni nadra kuyaona kwenye series za Euro ila scenes za mapunga ni nyingi kuliko who killed Sara wakianza kushikana
Hahahahaha khaaa! Hapo ndio naipenda iyo series ngoja nicheck mzee usiniambie ni nani?Ok nilidhani umeitizama na ya pili pia,huyu bi mkubwa na yule mshikaji Eloy,hawahusiki kabsa kwenye kifo cha Sara,kuna mshikaj mwingine anatokea tena...
Yeah! Kweli kabisaElite sijawahi itazama japo naona inapewa sifa nyingi sana kuwa ni nzuri...
Aisee mambo ya Netflix ni changamoto sana,kuna kipindi inafikia unaona hakuna jinsi inabidi utizame tu,jamaa wana vitu vizuri tatzo lao ni hapo hapo na tayali wameshajua kutushika dah
Hahahahah poa poa mzeeHahahahaha khaaa! Hapo ndio naipenda iyo series ngoja nicheck mzee usiniambie ni nani?
PoaHahahahah poa poa mzee
Yeah! Zimetoka episodes 5 zote leo mzee nitashusha kesho na kifurushi cha TTCLIpo njee sasa