Series (Special thread)

Jamani kuna comedy moja ya zamani sana(UK) naitafuta ila kila nnayopata ni iliyopo katika site za kustream na nikidownload nashindwa kuplay kwenye media player tofauti na ya browser nilipodownlod

Telegram napo sijaipata. Msaada tafadhali inaitwa KEEPING UP APPEARANCES
 
Niko naangalia Max Anger hapa ya Kiswidi kama mtu aliipenda Berlin Station,Undercover no Basi hii sio ya kukosa aisee

Kinachonikera ni hizi muvi zao kutofanyiwa dubbing ila wanaweka subtitles hardcoded tu

Napanda muvi ya lugha tofauti na English wafanye dubbing kama walivyofanya kwenye Lupin ndo inanoga,subtitle zitatufanya tuwe na makengeza Bure 😂😂😂😂. Jicho moja picha jingine maandishi ila kibishi tu fresh
 
Fala sana yule jamaa,kifupi anazingua yeye pamoja na yule bwana wake lawyer
Ubaya wa series za Netflix ndio ubaya sasa iyo Elite ina story nzuri aisee hadi mambo ya ukimwi ambayo ni nadra kuyaona kwenye series za Euro ila scenes za mapunga ni nyingi kuliko who killed Sara wakianza kushikana
 
Ya pili bado naweka kiporo kuna series flani ya Elite season 1 nilidownload mda sana pamoja na Godfather of Harlem season 1
Ok nilidhani umeitizama na ya pili pia,huyu bi mkubwa na yule mshikaji Eloy,hawahusiki kabsa kwenye kifo cha Sara,kuna mshikaj mwingine anatokea tena...
 
Ubaya wa series za Netflix ndio ubaya sasa iyo Elite ina story nzuri aisee hadi mambo ya ukimwi ambayo ni nadra kuyaona kwenye series za Euro ila scenes za mapunga ni nyingi kuliko who killed Sara wakianza kushikana
Elite sijawahi itazama japo naona inapewa sifa nyingi sana kuwa ni nzuri...

Aisee mambo ya Netflix ni changamoto sana,kuna kipindi inafikia unaona hakuna jinsi inabidi utizame tu,jamaa wana vitu vizuri tatzo lao ni hapo hapo na tayali wameshajua kutushika dah
 
Yeah! Kweli kabisa
 
IMG_1170.png

Nishadaka telegram
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom